pole sana ,uliingia kichwakichwa kwa matapeli ,mimi pia nipo ktk halakati hizo,hizo biashara zipo tatizo wengi waongo. kuna soko la mayai ya bundi kama yapo ni pm tufanye biasharaNakubaliana na wewe 100%. Kesho nikipata nafasi nitakuja na yaliyonikuta mimi mwenyewe katika harakati za rupia. Kwa sasa nawaasa msijiingize katioka shughuli hiyo.
pole sana ,uliingia kichwakichwa kwa matapeli ,mimi pia nipo ktk halakati hizo,hizo biashara zipo tatizo wengi waongo. kuna soko la mayai ya bundi kama yapo ni pm tufanye biashara
mayai ya bundi ndio nini?
pole sana ,uliingia kichwakichwa kwa matapeli ,mimi pia nipo ktk halakati hizo,hizo biashara zipo tatizo wengi waongo. kuna soko la mayai ya bundi kama yapo ni pm tufanye biashara
wengi haongo, wanasikia tu kisha wanajifanya wameviona hivyo vitu,ukweli hiyo biashara ipo na tamu sana,kama kunasehemu wanasema hakuingiliki aU kuna nyuki,simba,na mauzamauza mengine ,sisi tunaingia na kama kuna mali sisi tunatoa bila kumwaga damu ni suala la kanuni za mjerumani tu,mkuu kuna sehemu vipo hv vitu tena ni familia moja hivi wanayo hiyo stove na lupia lakini watu wameshindwa kuvitoa
Rupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa. Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.
Kuna thread niliyoanziasha hapa ikiwa inaongelea historia ya sarafu yetu. Itafute kwenye jukwaa la historia; Niliianzisha thread mbili hapa zamani sana nadhani mwaka 2007 hivi nikazungumzia hitsoria ya sarafu yetu na historia ya noti yetu.tupatie hiyo link mkuu tuisome hiyo tabora pound... never heard of it!!
Rupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa. Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.
wengi haongo, wanasikia tu kisha wanajifanya wameviona hivyo vitu,ukweli hiyo biashara ipo na tamu sana,kama kunasehemu wanasema hakuingiliki aU kuna nyuki,simba,na mauzamauza mengine ,sisi tunaingia na kama kuna mali sisi tunatoa bila kumwaga damu ni suala la kanuni za mjerumani tu,
mkuu embu nipe hizo kanuni nikajaribu baati yangu
Ahaaaaaaaaaa!najua liliko hilo box Uku kijijini kwetu kumbe mali lo! Asante mkuu
wengi haongo, wanasikia tu kisha wanajifanya wameviona hivyo vitu,ukweli hiyo biashara ipo na tamu sana,kama kunasehemu wanasema hakuingiliki au kuna nyuki,simba,na mauzamauza mengine ,sisi tunaingia na kama kuna mali sisi tunatoa bila kumwaga damu ni suala la kanuni za mjerumani tu,