Mwislam by choice
JF-Expert Member
- Sep 23, 2017
- 361
- 471
Naishi kanda ya kaskazin huku huduma za afya ni nzuri kwa wateja wa bima kwakuwa watu walioelimika ni wengi ( watu wanatambua haki zao).
Kuna ndugu yangu anapata huduma katika hospital ya walaya ya Kahama kwakweli huduma ni ngumu sana kila mtu anataka pesa ili upate haki ya huduma, Mshika file tu anataka 10k kweli usawa huu.
Kibaya zaidi huduma kama hiyo huku kwa mteja wa NHIF tunafanya bure bila makato ni kwenye kadi inauma saaana kama mtu anabima ananyanyasika hivyo.
PCCB waiangalie saana huduma pale ni ngumu sana