Rushwa ilianza zaman!

Haa haha, maswali mengine bwana!? Usidhani sheria hata hizi zetu za sasa hivi zipo applicable na sehemu zingine za dunia, kama hilo tu lipo hivyo, what about MUDA huo unao uzungumzia!? But again, Mungu alikua ameona Nuhu anaishi maisha yanayo mpendeza yeye and hence alitaka kuiangamiza dunia na watu wake wote isipokua Nuhu na familia yake, hapo nani angetengeneza SAFINA!? Zaidi na yeye atakae kwenda kukaa humo!?
 
Kwanza mngemuuliza mtoa mada anamaanisha nuhu yupi?Ni huyu mziwanda wa k/nyama mnunuz wa tv za wizi au?mungu yupi wa nabii tito au ni yupi maana duniani kuna miungu 5000 na yote huabudiwa japo wakweli ni yule unaye muamini wewe tu.Hivyo akitajwa mungu usikurupuke jiulize ametajwa mungu yupi?ni kaisar agusto au shinto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…