Rushwa iliyomwagwa kwenye kura za maoni za ubunge CCM Kyela inatisha, kuna mgombea amegawa pikipiki kwa kila katibu kata

Huwezi kukitenganisha chama cha mboga mboga na rushwa. Bila chama hiki, rushwa isingekuwepo duniani.
 
Tukutane Dodoma
Hapo Wajumbe Watatenda Haki
 
Hakuna rushwa hapo ila kiswahili ni lugha maskini hiyo inaitwa SLEAZY. Unashawishiwa umchague, sio unalazimishwa umchague.

Hii SLEAZY inawezekana akatendwa kwa njia nyingi hata Dada zetu walioko Chadema huitumia kwanye uteuzi wa viti maalum.

UNA PEWA PESA AU MALI LAKINI SUALA LA WEWE KUFANYA MAAMUZI YA KUMCHAGUA AU KUTO MCHAGUA LINA BAKI PALE PALE.
 
Bila hata rushwa, Mwakyembe kule kwao hawamtaki. Walimkataa mwaka 2015 ila CCM vikao vya juu vikalazimisha. Ngoja tuone mwaka huu nini watafanya
 
Humu hatuna cha kukusaidia!
Nakushauri kama unao ushahidi Thabiti fuata protocol!
Hata Ikulu milango iko wazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…