Tanzania ni lazima tusome nyakati. Ruhswa inaelekea imeshindikana kama tutasubiri serikali itatue hili tatizo. Lakini ni lazima mkakati uwekwe kitaifa bila hivyo tutakuwa tuna bebe maji na gunia.
Hatiwezi kama nchi kwa upande mmoja serikali inahimiza uwekezaji na utawala bora wakati huohuo kuna rushwa kuanzia kwenye kitongoji mpaka serikali kuu. Yaani ni mpaka inatishia uchumi kwa sasa nitatoa mifano hapa
1. Kwenye vitongoji na vijiji huwezi kupata Muktasari wa shamba kama wewe ni mnunuzi bila rushwa yaani kikao chao hadi cha madiwani ni cha kugawana pesa
2. Wakuu wa wilaya ndiyo wanaongoza kuchukua pesa za migogoro ya Ardhi
3. Polisi ndiyo rushwa ilipozaliwa badala ya kulinda watu wanalinda rushwa. Ukienda stendi wale traffic wanapelekea wakubwa wao rushwa
4. Wizarani kwa vigogo kuna rushwa kubwa kuanzia TRA , Mabasi ya kwenda kasi mifumo inahujumiwa makusudi, wachina wanasaidiana na mawaziri kuweka mashine za kamari mpaka vijijini! na ndiyo sababu zipo mpaka leo
5. Kwenye uongozi wa juu ni mikataba ya sirisiri tu kuanzia airport ya Kia, bandari ya dar, misitu ya carbon credit….. yaani miradi mingi sana
6. Mahakamani nako kuna rushwa
Sasa tujiulize kama kila mahali pana rushwa ni mifumo gani wa maendeleo utafanikiwa?
Tatizo la rushwa halijaanza leo limekuwa utamaduni na udekezaji wa wala rushwa ulianza enzi za Mwinyi mpaka leo.
Moja ya tatizo ni kwamba viongozi wasiopenda rushwa wanahujumiwa sana na kuonekana wajinga na slow.
Ni lazima adhabu za wala rushwa ziongezeke. Bila nia za ukomeshaji wa rushwa utajiri na maendeleo yatabaki kwa wachache wasio na vipaji wala juhudi.