A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na vituo vingi vyenye askari barabara ya Kigamboni-Mkuranga na kila kituo askari wanadai kupatiwa shilingi elfu mbili. Mpaka siku inaisha tunakua tumepoteza kiwango kikubwa tu cha pesa.
Wadau hasa TAKUKURU tunaomba mlitazame hili kwani tumewekeza pesa zetu katika sekta ya usafirishaji ili kujikwamua sasa kwa mazingira yasiyo rafiki kama haya mambo yanakuwa magumu sana.