Wambandwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 2,249
- 832
Madereva WA daladala njia ya Mbagala wanalaani rushwa inayodaiwa na polisi WA usalama barabarani. Wanasema Kuna askari anaitwa Obama anawataka watoe rushwa ya zaidi ya laki kwa kosa la kuandikiwa notification ya 30,000/-!
Tafadhali jirekebisheni, lakini kumbukeni dawa yenu iko jikoni.
Tafadhali jirekebisheni, lakini kumbukeni dawa yenu iko jikoni.