Pole mkuu. Wa kwanza atakuwa wa mwisho afu Ng'ombe wa maskini hazai aseeeKuna Interview moja nilienda Moro Kampuni X, tulikua kama 30 ivi tulioitwa Kwenye usahili.... Binafsi nilifika mapema sana eneo ambalo tunafanyiwa Interview kama saa Moja asubh,
Kisanga kilianza hapa, watu tumefika tangu asubh alafu kamekuja kabinti kamoja tena kwa kuchelewa mida ya saa 6 mchana, msimamizi akamwambia akitoka mtu ataingia Yeye... Wtf, nilimaind Sana lile tukio, hata kama kubebana sio lazima mtuonyeshe.
Mpaka nakuja kuingia Mimi ilikua saa 8 mchana.
NB; Na Kazi nikakosa vile vilee [emoji16][emoji16] nazani kalipata kale kadada...
Labda kwenye taasisi nyingne ila sio utumishi WA ummaHabari za saiz wadau,
Hivi ni kweli swala la rushwa lipo wakati wa usaili wa kupata kazi? Yaani kwa mwajiri kwenda kwa mwajiriwa au kutoka kwa mwajiriwa kwenda kwa mwajiri? Mfano wa rushwa izo ni ngono na pesa ili mtu apate kuajiriwa, hii kitu bado ipo kweli wanaJF?
Karibu tujadili.
Rushwa ipo kweli sio serikalin wala private sector lazima utoe
Siwezi kwenda maana naweza kupoteza Hela na muda wanguDah!! Nipo najiandaa kwenda kwenye usaili ila napata mchecheto maana tupo zaidi ya watu 200 afu tunawania nafasi moja, can you imagine!!