Rushwa na mizengwe kwenye chaguzi za CCM ni dhahiri kuwa hata kwa chaguzi kuu CCM hupita kwa rushwa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa.

Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
 
HILO LIKO WAZI Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 hazikuwa Chaguzi bali Mwenyekiti Magufuli aliteua Wajumbe sijui CCM ilimwokota wapi yule mtu
 
Chaguzi za Tanzania kwa ujumla wake zimetawaliwa na Rushwa, iwe ni ndani ya CCM au UPINZANI—nimeshiriki shughuli za uchaguzi Tanzania kote UPINZANI na CCM, nimeishuhudia rushwa first hand. Rushwa haziwezi isha hadi mtazamo wa jamii juu ya viongozi na uongozi utakapobadilika. Afrika tunaamini Uongozi ni ulaji, so ni lazima tunayempa ulaji atulipe.
 
Sifa yakwanzaya walamba asali lazima ujifunze kutoa mlungula
 
Mambo Haya yalianza rasmi MWAKA 1995 !kwao kile wanachokiita wanamtandao (makundi) Mwalimu nyerere alikataa mshindi kupenyezwa na makundi ya wanamtandao KWA ahadi ya FEDHA na takrima Ndipo tulipompata Ben mkapa Baada ya nyerere kuwakataa wanamtandao na chaguo lao!

Baadae Baba wa taifa aliporudi alipotoka kwa huko kwa Mungu! Wanamtandao wakakishinda CHAMA na kukiingiza kwenye mizengwe na Rushwa hadi leo hauwezi peyta ndani ya CHAMA bila Rushwa.

CHAMA kikaoza hadi leo ,hakuna cha kunadi sera wala nini ni Bahasha TU! Ndio màana Mbadala utapatikana Baada ya katiba mpya kupatikana!

Mungu ibariki Tanzania mpya ya katiba mpya!
 
CCM umeijua leo?

Unawezaje kutenganisha wizi,dhuluma,ulaghai na hicho chama?
 
Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa.

Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
Kanada asiyechoka
 
Mambo Haya yalianza rasmi MWAKA 1995 !kwao kile wanachokiita wanamtandao (makundi) Mwalimu nyerere alikataa mshindi kupenyezwa na makundi ya wanamtandao KWA ahadi ya FEDHA na takrima Ndipo tulipompata Ben mkapa Baada ya nyerere kuwakataa wanamtandao na chaguo lao!

Baadae Baba wa taifa aliporudi alipotoka kwa huko kwa Mungu! Wanamtandao wakakishinda CHAMA na kukiingiza kwenye mizengwe na Rushwa hadi leo hauwezi peyta ndani ya CHAMA bila Rushwa.

CHAMA kikaoza hadi leo ,hakuna cha kunadi sera wala nini ni Bahasha TU! Ndio màana Mbadala utapatikana Baada ya katiba mpya kupatikana!

Mungu ibariki Tanzania mpya ya katiba mpya!
KWA KWELI HUKU BILA PESA, ... MMH!
 
Back
Top Bottom