Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
CCM ni chama cha wahuniChama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa.
Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
HILO LIKO WAZI Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 hazikuwa Chaguzi bali Mwenyekiti Magufuli aliteua Wajumbe sijui CCM ilimwokota wapi yule mtuChama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa.
Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
Kanada asiyechokaChama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa.
Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
KWA KWELI HUKU BILA PESA, ... MMH!Mambo Haya yalianza rasmi MWAKA 1995 !kwao kile wanachokiita wanamtandao (makundi) Mwalimu nyerere alikataa mshindi kupenyezwa na makundi ya wanamtandao KWA ahadi ya FEDHA na takrima Ndipo tulipompata Ben mkapa Baada ya nyerere kuwakataa wanamtandao na chaguo lao!
Baadae Baba wa taifa aliporudi alipotoka kwa huko kwa Mungu! Wanamtandao wakakishinda CHAMA na kukiingiza kwenye mizengwe na Rushwa hadi leo hauwezi peyta ndani ya CHAMA bila Rushwa.
CHAMA kikaoza hadi leo ,hakuna cha kunadi sera wala nini ni Bahasha TU! Ndio màana Mbadala utapatikana Baada ya katiba mpya kupatikana!
Mungu ibariki Tanzania mpya ya katiba mpya!