Rushwa na ufisadi mkubwa sekta ya Bima

Macos

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
1,979
Reaction score
1,416
Kwako, mkuu wa TAKUKURU,
- Kamishna wa Bima - Uhamiaji
- Wizara ya Mambo ya Ndani..

KUMEKUWA NA WIMBI LA UFISADI NDANI YA SEKTA YA BIMA LIKIJUMUISHA MA-TX WANAOFANYA KAZI KATIKA KARIBU MAKAMPUNI YOTE YA BINAFSI YA BIMA TANZANIA...

HAWA JAMAA WAMEANZISHA SYNDICATE YAO WAKISHIRIKIANA NA JAMAA MMOJA MU-ASIA MDOSI AMABAYE SIO RAIA ANAITWA MANOJ... HUYU AIDHA HANA KIBALI CHA KUFANYA KAZI TANZANIA NI RAIA WA INDIA... LAKINI ANASEMA AMEWAWEKA MKONONI UHAMIAJI... ANACHOFANYA NI KUTOKA TANZANIA MPAKANI NA KENYA NA KUINGIA TENA KILA VISA YAKE INAPOISHA... NA KUWAHONGA BAADHI YA WAFANYA KAZI WA UHAMIAJI...

WIZI WANAOFANYA NI KWAMBA WAMEANZISHA MTANDAO WAO NA MA-TX WALIOKO KAMPUNI ZA BIMA... INAPOTOKEA CLAIM YA GARI YA TOTAL LOSS AU KAMA GARI HILO NI ZURI JAPO LINATENGEZEKA BASI WANASHAURI AFANYE TOTAL LOSS CLAIM NA HUYU JAMAA (MANOJ) ANAPEWA TENDA YA KUUZA HIYO SALVAGE KWA NIABA YA HIZI KAMPUNI ZA BIMA… THEN HAWA JAMAA WANAGAWANA KILICHOBAKI... WENGI WA DIRECTORS WA KAMPUNI HIZI HAWAJUI KINACHOENDELEA... SASA IMEKUWA MAZOEA HATA KAMA MWENYE GARI AKITAKA KU-RETAIN SALVAGE YA GARI HAPEWI ...

KUTOKA NA WIZI HUU KAMPUNI ZA BIMA ZIMEKUWA KATIKA HASARA KUBWA UPANDE WA BIMA ZA MAGARI... MARA NYINGI SALVAGE INAPOUZWA LENGO NI KUPUNGUZA MAKALI YA ILE CLAIM ILIOLIPWA... LAKINI SASA HAWA JAMAA WANAKULA KISHENZI... BILA YA WOGA NA HUYU JAMAA AMBAYE NI MIDDLE MAN WA HIZI KAMPUNI ZA WADOSI....WOTE WANAMTUMIA YEYE NA INASEMEKANA WAMEMUITA WAO HAPA TANZANIA ILI WAJE WALE....

HAYA YANAFANYIKA MBELE YA WAHUSIKA WANANYAMAZA KIMYA SIJUI NAO WANAKATIWA CHOCHOTE.....INAKADIRIWA MADAI YATOKANAYO NA TOTAL LOSS KUFUKIA BILLIONI 15 KWA MWAKA SASA UTAELEWA KIASI GANI HAWA JAMAA WANA KULA
 

kwa kweli huu ni mtandao mwingine mchafu unaozidi kuua mashirika yetu na kupukutisha hata senti kidogo ambazo zingefaa zingie kwenye huduma zetu za jamii. lakini siamini kama takukuru wana meno ya kung'ata, i mean, wao wako clean kiasi gani kumfunga paka kengele?
 
Ccm wanafanya ufisadi kila cku na ktk kile sekta...
Pale chato na bormberdier hapatamwacha mkulu salama maana ni ufisadi wa wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…