Rushwa na uozo soka la wanawake ,TFF mbona hampo makini?

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
541
Reaction score
1,449
MPIRA WA WANAWAKE NA RUSHWA

Hakika mpira wa wanawake una changamoto sana timu zinapewa rushwa ili iwakazie wapinzani na rushwa hizo ni za waziwazi nashangaa Tff wanafanya kazi gani Kama chombo cha kusimamia mpira.

Bila kumung'unya maneno Simba princess na Yanga princess wanaharibu mpira wa wanawake ,vilabu hivi vinacheza mchezo mchafu waziwazi wakicheza na timu pinzani haswa kipindi hichi wanatoa kiasi Cha pesa kwa wapinzani wao ili iwaachie

Na mbinu nyingine mfano mpinzani wa ubingwa anacheza dodoma Basi hawa jamaa wanafuata timu pinzani na kuahidi kila mchezaji laki mbili mbili endapo wakiwafunga au kusuluhu na hao wapinzani wao wa ubingwa

Na rushwa hizi ni za wazi kabisa

Fatma Deuji acha kuharibu soka la wanawake pamoja na viongozi wa Yanga princess rushwa zenu ni za waziwazi

TFF mpira wa wanawake kuna uozo mkubwa sana mpaka inauzi

Na hawa jamaa rushwa zao laki mbili mbili kupokea timu pinzani na kuwahudumia
FB_IMG_16210123294805388.jpg
 
Umezunguka, iyo yanga umeiweka kufichaficha apo unaituhumu simba Queens kupitia Fatma

Kama ushahidi upo wasilisheni kwenye mamlakw husika, ila yanga princess na simba queens wako bora sana kuzidi izo timu nyingine ata rushwa ikitolewa haisaidii
 
Huyu monalisa bongomuvie imemshinda
Sasa ameamua akawe mpanga rushwa wa
Simba queen's
 
MPIRA WA WANAWAKE NA RUSHWA

Hakika mpira wa wanawake una changamoto sana timu zinapewa rushwa ili iwakazie wapinzani na rushwa hizo ni za waziwazi nashangaa Tff wanafanya kazi gani Kama chombo cha kusimamia mpira.

Bila kumung'unya maneno Simba princess na Yanga princess wanaharibu mpira wa wanawake ,vilabu hivi vinacheza mchezo mchafu waziwazi wakicheza na timu pinzani haswa kipindi hichi wanatoa kiasi Cha pesa kwa wapinzani wao ili iwaachie

Na mbinu nyingine mfano mpinzani wa ubingwa anacheza dodoma Basi hawa jamaa wanafuata timu pinzani na kuahidi kila mchezaji laki mbili mbili endapo wakiwafunga au kusuluhu na hao wapinzani wao wa ubingwa

Na rushwa hizi ni za wazi kabisa

Fatma Deuji acha kuharibu soka la wanawake pamoja na viongozi wa Yanga princess rushwa zenu ni za waziwazi

TFF mpira wa wanawake kuna uozo mkubwa sana mpaka inauzi

Na hawa jamaa rushwa zao laki mbili mbili kupokea timu pinzani na kuwahudumia
View attachment 1784938
Watoa rushwa wanajulikana, acha kuihusisha Yanga mkuu! Yanga hii mnaisema maskini hizo hela za kuhonga watazitoa wapi?
 
Hivi hii timu inayosajili wachezaji bora hadi inauza nje ya nchi,bado mnataka kuianzishia chuki tena?

Tatizo la watu maskini ni kuchukia watu wenye pesa na kila wakati wakihisi mafanikio ya mwenye pesa ni kuhonga tu.

Umaskini ni Mzigo sana
 
achana nao wajinga hao this year kutakuwa na champions league ya wanawake afrika ndipo wataona nguvu ya simba queens,halafu kama team ya mkoa inapewa hela ili iikazie team fulani sasa hiyo ni rushwa ya aiana gani?nilidhani labda wachezaji wanapewa ili waachie magoals au marefa wanahingwa
 
Umezunguka, iyo yanga umeiweka kufichaficha apo unaituhumu simba Queens kupitia Fatma

Kama ushahidi upo wasilisheni kwenye mamlakw husika, ila yanga princess na simba queens wako bora sana kuzidi izo timu nyingine ata rushwa ikitolewa haisaidii
kumbe na wewe umemgundua?
 
Hivi hii timu inayosajili wachezaji bora hadi inauza nje ya nchi,bado mnataka kuianzishia chuki tena?

Tatizo la watu maskini ni kuchukia watu wenye pesa na kila wakati wakihisi mafanikio ya mwenye pesa ni kuhonga tu.

Umaskini ni Mzigo sana
Siku zote mtu masikini ni hatari sana kwa maendeleo ya jamii yoyote Ile,kushindwa kwake lazima sababu imuhusishe tajiri
 
MPIRA WA WANAWAKE NA RUSHWA

Hakika mpira wa wanawake una changamoto sana timu zinapewa rushwa ili iwakazie wapinzani na rushwa hizo ni za waziwazi nashangaa Tff wanafanya kazi gani Kama chombo cha kusimamia mpira.

Bila kumung'unya maneno Simba princess na Yanga princess wanaharibu mpira wa wanawake ,vilabu hivi vinacheza mchezo mchafu waziwazi wakicheza na timu pinzani haswa kipindi hichi wanatoa kiasi Cha pesa kwa wapinzani wao ili iwaachie

Na mbinu nyingine mfano mpinzani wa ubingwa anacheza dodoma Basi hawa jamaa wanafuata timu pinzani na kuahidi kila mchezaji laki mbili mbili endapo wakiwafunga au kusuluhu na hao wapinzani wao wa ubingwa

Na rushwa hizi ni za wazi kabisa

Fatma Deuji acha kuharibu soka la wanawake pamoja na viongozi wa Yanga princess rushwa zenu ni za waziwazi

TFF mpira wa wanawake kuna uozo mkubwa sana mpaka inauzi

Na hawa jamaa rushwa zao laki mbili mbili kupokea timu pinzani na kuwahudumia
View attachment 1784938
Hivi ndugu zetu malalamiko mtaacha lini? Kwenye ligi kuu bara kutwa mnalalamika Simba inapendelewa huku nako mnalalamika Simba inahonga, maana hapo umeipachika Tu Yanga kujifanya unabalance story ila lengo lako ni kuilenga Simba

Ligi ya wanawake ina zaidi ya timu 10 na zote zina wachezaji zaidi ya 18, wanaanza wachezaji 11 hivi Kwa akili ya kawaida na sio ya utopolo utaweza kuhonga kila mchezaji laki 2 na kumbuka kuna game za home and away kwahiyo kila timu uhonge zaidi ya 4 mil na hizo mil 4 zidisha Kwa idadi ya timu zote za ligi ya wanawake sasa Hilo kombe lina Thamani gani hadi uhonge zaidi ya milion 70 ili ulipate na hao Simba wanaingiza shingapi Hadi watoe hela zote hizo, kuna ujinga mwingine Kabla hujaongea fikilia kidogo

Jamani jengeni timu acheni maneno, at least mwaka huu mmejitahidi Hadi saiz mmezidiwa na Simba queen's point 1 Tu na mshindi wa ligi atapatikana jumapil, mwaka huu mliwekeza na mmeleta ushindani, mwakani boresheni tena vikosi vyenu mbona malalamiko yataisha kama sio kupungua kabisa,
 
Kwa Simba vs Yanga ilikuwaje? Nan alimpa hela mwenzake? Matokeo yalikuwaje. Kimsingi anayejua anajua tu
 
Umezunguka, iyo yanga umeiweka kufichaficha apo unaituhumu simba Queens kupitia Fatma

Kama ushahidi upo wasilisheni kwenye mamlakw husika, ila yanga princess na simba queens wako bora sana kuzidi izo timu nyingine ata rushwa ikitolewa haisaidii
Kwa hiyo Yanga Princess a wenyewe walipokea Rushwa kutoka kwa Simba Queen?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Toa ushahidi rushwa ni kitu kibaya michezoni
Mm Kama cag tu sasa hapo Tff na waandishi wa habari waingie mzigoni kufanya utafiti na nimegusia hvyo tff wawe makini na soka la wanawake

Mechi iliyoisha tu moja ya timu iliyocheza na hao Giants ilipewa rushwa na waliuza mechi waziwazi ,na pia mipango ya mechi ijayo tayari washafanya umafia ..Tff na waandishi wakiwa serious wakifanyia kazi watapata kila kitu ...sisi wadau tumetoa hints Sasa walengwa kazi yao kusafisha ligi ya wanawake
 
Kunahitajika ushahidi ni vigumu wengine kuchangia kwa sababu tutakuwa tunachangia kitu ambacho hakina uhakika ingawa rushwa ipo kila sehemu
 
Back
Top Bottom