Rushwa ni malezi elimu inachangia

Rushwa ni malezi elimu inachangia

Joined
Mar 26, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Tafakuri Ya Leo....

Unalalamika Taifa Lina Rushwa unasahau ulifundishwa na wanao wanafundishwa shuleni na waalimu wao
ELEZA MAANA YA METHALI ZIFUATAZO

1. PENYE UZIA...................??
2. MKONO MTUPU..............??

ONGEZEA METHALI Zako na Nahau zinazokufundisha uwe mtoa Rushwa mzuri je nini maoni yako kuhusu masomo yanayochochea vitendo vya RUSHWA
 
Back
Top Bottom