kuna Trafic mmoja anakigari
cheusi uwa anachukua rushwa hatari na kuhrsabia kwenye kigari chake alichokiwekea tinted
Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi wao aliwaruhusu kwa kusema hiyo ni hele ya kupigia viatu rangiSidhani kama hiyo kitu itaisha
Unapoingia mawasiliano watu wamejipanga wanasimamisha kila gari. Na kila gari konda anashuka anaweka 3000 anasokota kwenye risiti ya zamani akifika anakabidhi risiti anageuka.
Ukikaa kituo cha kwenda Mbezi unaweza kuhisi ni movie. Mbaya mmoja anasimamisha zaidi ya mabasi manne. Ghafla unakuta kazungukwa Mh. mmoja na makonda wanne wanakabidhi wanaondoka.
Kazi ipo