TAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza...
Mmmh, hivi hizi ajira mbona kama kuna magumashi jamani ila hapa kuna tatizo kwanini wakae kimya kiasi hiki! Poleni sana Watanzania wenzangu,Kumeibuka wimbi la matapeli dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa tamisemi wanaitaji sh700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kati na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza...
Wanawaua wasiokuwa nazo halafu itasababisha wazembe wengi kuajiriwaRushwa ni takrima, ina baraka zote za CCM
TAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?
Serikali haina pesa kama wanavyotaka kutuaminisha. ..................!!mmmh, hivi hizi ajira mbona kama kuna magumashi jamani ila hapa kuna tatizo kwanini wakae kimya kiasi hiki! Poleni sana Watanzania wenzangu,
Unataka nipewe kesi y uhujumi uchumi kakaTAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka h6apo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?
Haya tunatakiwa tusikae kimya hali itakuwa mbaya5Ajira zenyewe hazitatoka mwaka huu pili nani asiyejua kuwa rushwa na chamadola ni kama misuli na damu
TAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?
Wanaendelea kuzikusanya tuu wameshwapiga kuna waombaji zaidi ya laki kwahiyo mpaka wawamalize angalau nusu ndio watoe majinammmh, hivi hizi ajira mbona kama kuna magumashi jamani ila hapa kuna tatizo kwanini wakae kimya kiasi hiki! Poleni sana Watanzania wenzangu,
Usiwe na hasira uchaguzi ulishaisha sasa tuangalie mustakabali wa maisha ya watuNenda CCM watakusaidia
Hayo mambo yangeisha,kwa kuwepo kwa uhuru kamili wa habari,saudi ya happy tunadanganyana,na tunachochea haha tunayoimba kuyakataa,ila uhalisia tunayalea na kuyakuza kwa manufaa ya kundi la wachache waliovalia ngozi ya kondoo ilhali ni mbwa mwitu wakali.Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza.
Inawezekana mtu au watu wanaofannya hivi wakawa na connection na wafanyakazi wasio waaminifu wa TAMISEMI. Nimewahi kushuhudia mwaka jana watu wakitoa milioni 2 mwaka jana katika kamouni moja ya kimataifa iitwayo SICPA ili wapate kazi na hayo yalifanywa na HR akishirikiana na mateam leader wa kila kanda.
Sasa haxo mamba tena yanakuja katika serikali ni hatari kwa sababu najua wanafunzi wengi wa vyuo wanadaiwa na wamekomboa vyeti vyao kwa gharama hivyo kuwaongezea gharama nyingine za kutoa rushwa haina afya. Na wamedai hawatoi majina ili waendelee kuvuna pesa za sikuuu na mwaka mpya.kwa sheria ya jamii forum inanizuia kuweka namba zao humu lakini ukija inbobo nakupatia namba.
Nenda CCM watakusaidia
Kivipi? Kwahiyo siku TAKUKURU ukiwapelekea 'Taarifa' muhimu ya 'Rushwa' kama hii yako 'wanakugeuka' na Wewe kuwa 'Mtuhumiwa' wao Mkuu?Unataka nipewe kesi y uhujumi uchumi kaka
Ina maana TAKUKURU ( PCCB ) hii ya Brigedia Mbungo imekuwa ya 'Kihuni' na 'hovyo hovyo' hivi? Nitakuwa wa mwisho 'Kuamini' hili Mkuu wangu.Akienda huko atabambikizwa kesi mpaka zimtoke milioni ndio kesi ifutwe π π π π
Kuna matapeli pia msipende kuwaonea watu.Ajira au majina Toka muda mrefu mbona yalishafanyiwa kazi tu.Kilichobaki ni kuachiwa tu.Tusichafuane Watanzania.Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza.