Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

Mimi nadhani mtoa mada ungeshauri tu Serikali na Wizara itoe majina ya waliopangwa Vituo vya Kazi kwani deadline ilikuwa 30/9/2020.<Ni Muda Kidogo umepita.TAMISEMI waseme kidogo
 
Kigogo 'kawaharibu' mno 'Wapuuzi' wengi kama Wewe. Hivi kuna nchi ambayo Idara yake ya Usalama inaweza kuruhusu Wageni kufanya Mauwaji?


Ni nchi inayoongozwa na Raisi mwizi na muuwaji TANZANIA

Hiyo TAKUKURU YAKE si ianze na yeye kwanza na CCM yake ?? 😛 😛 😛 😛

Huo wizi wa kura TAKUKURU imevaa miwani myeusi, haikuiona yale mauwaji na watu kupigwa na vipi yale maboksi na mabegi ya kura feki 😛😛😛😛
 
Waalim hawahawa waliosaidia ccm kushinda kwa wizi wa kura ndio wanatozwa tshs 700,000 mpaka 1,000,000 au wanaotozwa ni walimu wa chadema?
 
Kampeni zimeisha na Siasa zimeshamalizika huku Rais akiwa ni Dk. John Pombe Joseph Magufuli hivyo huu 'Upuuzi' wako hauna Tija kwa sasa pia.

Ndiko zilikoenda hizo ajira huko ?? hayo uliyoandika ndio wizara mpya ??
😛😛😛😛
 
Pumbavu.
 
muda siyo mrefu utafuatwa na makachero na uwe tayari kutoa ushahidi.
usiwe muoga, kama jambo una uhakika nalo toa ushirikiano kwa vyombo husika.
 
Uzi umeharibika kwa sababu ya kuingiza Siasa
 
muda siyo mrefu utafuatwa na makachero na uwe tayari kutoa ushahidi.
usiwe muoga, kama jambo una uhakika nalo toa ushirikiano kwa vyombo husika.
It simple kama kusukuma mlevi nna mafaili yao mengi tuu tatizo ni mifumo yetu mibaya
 
muda siyo mrefu utafuatwa na makachero na uwe tayari kutoa ushahidi.
usiwe muoga, kama jambo una uhakika nalo toa ushirikiano kwa vyombo husika.


Makachero hawa wenye njaa , akae tayari kutoa chochote
 
Iku
Waalim hawahawa waliosaidia ccm kushinda kwa wizi wa kura ndio wanatozwa tshs 700,000 mpaka 1,000,000 au wanaotozwa ni walimu wa chadema?
Ikumbukwe wanaotozwa pesa hizi hawajaingia kazini sasa tusiwaangushie lawama siasa zilushakwisha sasa tuangalie mustakabali wetu
 
Wewe
Mimi nadhani mtoa mada ungeshauri tu Serikali na Wizara itoe majina ya waliopangwa Vituo vya Kazi kwani deadline ilikuwa 30/9/2020.<Ni Muda Kidogo umepita.TAMISEMI waseme kidogo
Wewe nadhani umeomba hizi ajira ila kama hujatoa mchongo haulambi ajira
 
It simple kama kusukuma mlevi nna mafaili yao mengi tuu tatizo ni mifumo yetu mibaya
basi wewe ni raia mzalendo, nakushauri fika office za takukuru zilizo karibu na wewe
 
Kweli pumbavu, kwani unaona umepewa chochote unafaidika , lakini vitabu viliandika AINGIAYE KWA UPANGA HUTOKA KWA UPANGA

Wakati utasema punde hivi
Waafrika wengi hawana tofauti na wanyama. Ulaya ya kale na revolutions zake ilipaswa iwe funzo kubwa sana kwetu juu ya tawala za kistaarabu. Hata Arab spring na ya Sudan ya Bashir bado watu hawajajifunza.

Ukiwaona majukwaani ni wanyama full.
 
Iku

Ikumbukwe wanaotozwa pesa hizi hawajaingia kazini sasa tusiwaangushie lawama siasa zilushakwisha sasa tuangalie mustakabali wetu
Tatizo mlifikiri majanga yatawahusu wapinzani peke yao, dodoma ni kitovu cha ccm kwanini mfanyiwe hivi?
 
Waalim hawahawa waliosaidia ccm kushinda kwa wizi wa kura ndio wanatozwa tshs 700,000 mpaka 1,000,000 au wanaotozwa ni walimu wa chadema?
Mimi naona wangewatoza zaidi maana wamesaidia sana kuharibu uchaguzi uliopita pumbavu sana halafu mtaani wanapiga mizinga utadhani hawana Ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…