mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Una ushahidi ya Kuwa Uchaguzi uliharibika? Acha Kuleta Siasa kwenye Kila Jambo.Mahaba ya Chama chako yasikufanye ukawa Mjinga.Mimi naona wangewatoza zaidi maana wamesaidia sana kuharibu uchaguzi uliopita pumbavu sana halafu mtaani wanapiga mizinga utadhani hawana Ajira.
Ukijua anayetoa Ridhiki ni mwenyezi Mungu Basi Mimi Graduate usingenambia hivyo.Maisha yangu anayepanga ni Mungu.Leo kwangu Kesho kwa mwingine.Kwa hiyo Kama nitakuwepoo au sitakuwepo Mungu ndiye anayejua Ila sio mwanadamu kwa Maana Kesho yangu Mimi sijui ni ipi.Wewe
Wewe nadhani umeomba hizi ajira ila kama hujatoa mchongo haulambi ajira
Hao Takukuru njaa? Hivi hawakuona ule uchaguzi wa ndani ya CCM ulivyoendeshwa? Na huu uchaguzi wa kura feki ulivyoenda na mauwaji na watu kupotea ? Hivi walivaa vitambaa vyeusi machoni ?afike office za takukuru au akifuatwa pm atoe ushirikiano wa kujibu maswali atakayoulizwa(vielelezo+ushahidi)
Kampeni zimeisha na Siasa zimeshamalizika huku Rais akiwa ni Dk. John Pombe Joseph Magufuli hivyo huu 'Upuuzi' wako hauna Tija kwa sasa pia.
Usijali swala lako litafanyiwa kazi na Mamlaka husika,watu wazuri na wanaopenda kusimamia sheria bado wapo wengi tu ndani ya system!!It simple kama kusukuma mlevi nna mafaili yao mengi tuu tatizo ni mifumo yetu mibaya
Siyo Makachero wote wenye njaa, usikariri sana! Watendaji wengi Sasa hivi wanapiga kazi vizuri tu!!Makachero hawa wenye njaa , akae tayari kutoa chochote
Hata huku tupo,Tutaenda kuchukua mgao wetu.TAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?
Hapana mimi nimekutaaazalisha tuu kakaUkijua anayetoa Ridhiki ni mwenyezi Mungu Basi Mimi Graduate usingenambia hivyo.Maisha yangu anayepanga ni Mungu.Leo kwangu Kesho kwa mwingine.Kwa hiyo Kama nitakuwepoo au sitakuwepo Mungu ndiye anayejua Ila sio mwanadamu kwa Maana Kesho yangu Mimi sijui ni ipi.
Utamjuaje huyu ana njaa au hana ?Siyo Makachero wote wenye njaa, usikariri sana! Watendaji wengi Sasa hivi wanapiga kazi vizuri tu!!
Njaa haijifichi,utamjua tu!! Na Mpigaji kazi wa kweli utamjua tu!!Utamjuaje huyu ana njaa au hana ?
Huyo Mtu wako kapigwa! Kazi alishapata sema kujipendekeza kwake kufuatilia majibu yake kupitia mlango wa Nyuma, Wajanja nao wakaamua kuvuta Mpunga!!Naogopa kuandika hapa ila kuna mtu namjua alipata kazi kwenye ile ofisi ya kuzuia rushwa kwa kutoa rushwa
Mimi ndio nimekwambia alipata kazi kwa kuhonga kama wewe unajua tofauti sawa sibishaniHuyo Mtu wako kapigwa! Kazi alishapata sema kujipendekeza kwake kufuatilia majibu yake kupitia mlango wa Nyuma, Wajanja nao wakaamua kuvuta Mpunga!!
Kaka yote Ni Kheri.Kupata Ama kukosa Anayejua Ni Mungu.Hapana mimi nimekutaaazalisha tuu kaka
Kwa hiyo wengine walikosa kazi hiyo kwa sababu hawakuhonga!?Mimi ndio nimekwambia alipata kazi kwa kuhonga kama wewe unajua tofauti sawa sibishani
Hahaha huwa mnaelewaje mkiambiwa hiini serikali ya ccm?!TAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?
Swine.Upuuzi?
We ndio mpuuz, unaye jiita geneus, kumbe takataka...
Nimekuuliza zile ajira za walimu wakati wa kampeni zimeeishia wapi? Au na ww mbulula unaye shabikia UONGO...
Na kweliTAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?