Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Yes, kwa jinsi takukuru walivyodhibiti rushwa wakati wa uchaguzi kwa hilo la matapeli ni dogo saaaanaTAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?
Teh teh ni kweliYes, kwa jinsi takukuru walivyodhibiti rushwa wakati wa uchaguzi kwa hilo la matapeli ni dogo saaaana
Mpigaji kazi utamjua kwa kutomsaidia dhalimu kutokuiba kura.Njaa haijifichi,utamjua tu!! Na Mpigaji kazi wa kweli utamjua tu!!
Nadhani Mambo ya Uchaguzi yalisha kwisha Sasa tupigeni kazi! Mbeligiji Yuko zake Ubelgiji anakula zake Ma Baga!! Na Magufuli Yuko zake Chamwino anatafuta Watu wa kupiga nae Kazi!!Mpigaji kazi utamjua kwa kutomsaidia dhalimu kutokuiba kura.
Swine.
Dame Fool.Usikimbie tu....
Unaniita swine?
Nakusisitiza kawe hakuna mbulula Kama ww unaye jiita genius. Genius unaitwa na watu sio kujiita mwenyewe...
Unakuja jf na hbr zako kwamba Fulani kasema hv hivyo member wajadili... Hauna thread za maana zaidi ya kuongelea matamshi ya watu na eneo la kawe... Jiangalie utaolewa... Kwanza unakaa kawe ipi maana napajua kuanzia madukani hd maringo... M*bwa jike ww.
Nadhani Mambo ya Uchaguzi yalisha kwisha Sasa tupigeni kazi! Mbeligiji Yuko zake Ubelgiji anakula zake Ma Baga!! Na Magufuli Yuko zake Chamwino anatafuta Watu wa kupiga nae Kazi!!