Eratosthenes
Senior Member
- Mar 13, 2013
- 102
- 114
Hapo hamna mtoto mdogo umeandika nonsense kijana mind your own bussinessWakuu, salama
Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate....
Dean of students na eligibility ya ku- graduate wapi na wapi. Huyu si mhadhiri.Wakuu, salama
Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate...
Wanashindwa nini kuwa Rekodi na kuwawekea mtego
Weka ushahidi lasivyo inaonekana chuki binafsiWakuu, salama
Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate...
Soma acha majungu,Wakuu, salama?
Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate!
Kibaya zaidi kiongozi wa hili suala la kupenda rushwa hii ni Dean of Student ambaye ndio kinara wa penda penda hii! Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati maana sasa imezidi kwa sasa hapo chuoni.
Kuna haja ya kufanya behavioral modification miongoni mwa wakufunzi hao maana sasa kama hadi mtu anashindwa kuhitimu kisa mkufunzi analazimisha hadi apewe ngono ndo amruhusu sio vyema! This is too much aiseeee
Wakuu, salama?

Dean akikuomba utamu we mkatalie tuone kama hautograduate.Acha uongo, nadhani una beef na Dean of students. Dean of students hausiki na academic issues bali issues za wanafunzi kama psychology, ushauri, accommodation, masdili, welfare nk.
Kwa maelezo yako unadai anapenda ngono, na uspompa haugraduate. Dean of students Hana mamlaka yeyote ya kuzuia matikeo ya mwanafunzi Wala kuaccess matokeo ya mwanafunzi.
So, please acha kuchafua taasisi kwa individual interests zako. Kama una shida ya matokeo mwone examinations officer na sio kuleta majungu .