Rushwa Ya Ngono Kutawala Vyuoni!!

sugua vifutio hivyo marekcharaaa wangu ...hakuna kupepesa macho kanyanga mbunye mpaka vumbi litimke ....
 
Nikikupata na mtu wangu miguu utamsimulia mkeo
 

Mkuu nakubaliana na wewe. Hao wanao ombwa rushwa ya ngono na kukubali ili wasifelishwe ni hao ambao performance yao ni mbaya kwenye masomo. Hivi Lecturer akikutaka ukamkatalia atakufelisha vipi endapo umetoa majibu sahihi kwenye mtihani? Najua vyuo vikuu kuna external examiners ambao nao uwa wanapitia hayo majibu ya mitihani, Lecturer ataogopa kukupa marks za chini kwa majibu sahihi kwa kuwa kazi yake inapitia pia na external examiner.

Wanaokubali kutoa rushwa za ngono ni wale ambao upstairs kunasuasua.

Tiba
 
Kama malaya malaya tu
Akifaulu kwa rushwa ua ngono mziki upo atakapoingia mtaani atakuwa bonge la zuzu
Labda rais awe baba yake la sivyo ni mzigo wa kufa mtu
 
siyo kweli mkuu, wengi wanatongozwa na wahadhiri kwa kulazimishwa.

Wanawatongozea darasani au? Si mpaka uende ofisini?
Ukiwa na issue ya kukupeleka ofisini nenda umevaa kiheshima, uwe serious na ikiwezekana ongozana na mwenzio tuone kama utatongozwa.
We unaenda ofisini kwa mwanaume umevaa kimini, nyonyo nje, unajichekesha kama umetekenyw.a.....hapo hata ningekuwa me ndo mwanaume ningeomba extraaaa.
Na wao pia binadamu tusiwatie majaribuniiii
manake wasichana wa vyuo wanavaa vibaya sanaaa, huwa mpaka najuliza hivi wakirudi kwao Sitimbi wanavaaga hivi hivi au hizi wanazichoma moto?
 
Hii tatizo (fashen) haita kaa ikakoma,kwa sababu:
1.kuna watoto walisomeshwa kwa nguvu ya pesa huko O level na A level.sasa chuon namna pekee ya kufaulu ni kutoa uchi.
2.mavazi ya wasichana wa leo wanavaa ili kuamsha attention na appreciation na tumeyakubali sana.Ila matokeo yake tunayakataa!!HIvyo tamaa imeamshwa kila kona sasa enyi ma lectuer msiogope tena issue ya maadili,hakuna iyo kitu nyie jipigien mnavyo weza!na kama bado basi umepitwa na wakati
 
wavae vizuri kwa namna gani mkuu kabanga, mbona kuna ambao wanajisitiri vyema na mavazi ya heshima kabisa lakini bado wanasumbuliwa kingono na wahadhiri,..

ni kweli mkuu, wengi wao chakii hawavai kiheshima, hao wachache wanapaswa kukomaa hasa, ila ujue tatizo linapoanzia ni pale kwenye kuomba kuongezewa coursework.....ndipo usumbufu unapoanzia...
 
Last edited by a moderator:

Hiyo ngono wanaitaka wenyewe,mi siwezi kunywa maji kwa kulazimishwa,sasa mtu.mzima above 18 tena mnasema anafelishwa??? Mimi niliwahi kusumbuliwa na lecturer mmoja,nilimrekodi kila aliponipigia simu,end of the day nilienda takukuru na simu vyote alivyoniambia vilibainika,nilipeleka pia kwenye uongozi wa chuo,mpaka leo huyo lecturer alikoma maana hakua na cha kujitetea evidence zilikua zimekamilika,alijikuta anakabiliwa na kesi mbili,uongozi wa chuo pamoja na takukuru,ifike mahali waschana waseme noooo,wawe na msimamo,
 

kama kweli ulifanya hivyo na ukamaliza chuo salama kwa ufaulu basi mshukuru MUNGU!!
 
department of economics UDSM. kuna vijana pale walikua wakitoswa na demu basi darasa zima matatani manake hizo SAPU. cha kushangaza walikua majanki tena wana vijihela ila midomo zege..sijui bado wapo wale au walikufa? lecturers joel, kenny...eti mpo humu jf?
 

We naye ulizidi si ungemnyima kimya kimya tu mwenzako ndo kazi ilikuwa inamweka mjini hiyo afu kupendwa na lecturer si kwamba ni kosa wengine wanapenda kwa dhati, ndoa nyingi tu nauzulia za lecturer na dent wake inawezekana ulikosa bahati wewe
 
We naye ulizidi si ungemnyima kimya kimya tu mwenzako ndo kazi ilikuwa inamweka mjini hiyo afu kupendwa na lecturer si kwamba ni kosa wengine wanapenda kwa dhati, ndoa nyingi tu nauzulia za lecturer na dent wake inawezekana ulikosa bahati wewe

no,alikua ananitishia kunifelisha desertation sasa ningenyamaza ya ni ni wakati nlikua siko intrested nae,ni jizee jitu ziiima
 
kama kweli ulifanya hivyo na ukamaliza chuo salama kwa ufaulu basi mshukuru MUNGU!!

nilifanya hivyo mkuu nikamaliza chuo salama,ila mkuu wa chuo alipata order kutoka kwa mkubwa fulani kwamba ahakikishe nakua salama
 
Hivi vitoto vitamu jamani acheni masikhara hata kama ningekuwa ni mimi ningevitafuna,kwa mwanaume rijali uvaliwe vile uone lile paja lilivyo laini af mtoto kaiva kama anakula ufuta anakulegezea jicho 'jamani mwalimuu' uache kuulizia?Ntakushangaa.Ila wanaofeli ndiyo wanatumia kinga ya kuliwa kujitetea bt ni wengi wanaliwa kwa makubaliano tu hakuna uhusiano na kufaulishana acheni kuwaonea gere wahadhiri na nyie nendeni mkafundishe.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
malecturer baadhi yao hawajiheshim kabisa,yaani akitoswa anahamisha hasira kwenye paper!foolish you lecturers with hiyo tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…