mopaozi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,300 Reaction score 523 Jan 30, 2012 #1 Mgomo wa madaktari umepelekea kushamiri kwa vitendo vya rushwa kutokana na uhaba wa huduma jana ndugu yangu katoa laki ili apate huduma wasiokuwa na hela wanataabika na kuteseka!
Mgomo wa madaktari umepelekea kushamiri kwa vitendo vya rushwa kutokana na uhaba wa huduma jana ndugu yangu katoa laki ili apate huduma wasiokuwa na hela wanataabika na kuteseka!
W waukweli mh New Member Joined Jan 29, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Feb 6, 2012 #2 Serikali yetu ifike mahali iwe ina toa majibu yaku eleweka