Rushwa yatawala ticts kitengo cha operation

Mbona jina langu silioni kwenye orodha?
kampuni ya kupakia na kupakua makontena bandarini [TICTS] ilitangaza nafasi za kazi za madereva wa vyombo vya moto kwa wenye elimu ya kidato cha nne tu. Interview ikafanyika matokeo yake wakachukua
baadhi ya wenye elimu ya darasa la saba wakati kidato cha nne waliokua na vigezo wakaachwa,[[[
HIYO NI ISHARA YA RUSHWA]]]
walio chaguliwa na elimu ya darasa la saba ni wafuatao:
...1]shaban k. mduma 2]alex m.shaidi 3]emmanuel f.sesela 4]james j.kassa 5]karim r seleman 6]robert o ngonyani
.....7]samson f mkama 8]samwel mweluwe 9]stephano tuvana 10]peter siza 11]leonard yuba 12]peter mtenga
.....13]robert mwaystela ..
**kuna madereva ambao walipeleka ticts mahakamani wameenda kwa mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wakatoa rushwa na mwenyekiti akaenda kwa terminal manager.
...Ticts imempa mwenyekiti na katibu wa chama cha wafanyakazi upendeleo ndugu zao wapewe nafasi.
....TUNAOMBA TAKUKURU NA VYOMBO HUSIKA VIJE KUKAGUA VYETI VYA HAO VIJANA.
 
WANYAKYUSA wako mbele, wana hadi Mwaistela
 
Join Date : 7th November 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Join Date : 7th November 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Mshkaji kajiunga leo maalum kwa hii makitu. Yaelekea amepigwa chini kwenye intavyuu. Sijui kajuaje hao aliowataja wameishia la saba? Manake siku hizi Form Four ni kama nasare skul tu. Miaka miwili tu watu wanalamba vyeti....
 
Hata mimi nimeshangaa sana.
 
Mkuu vumilia 2015 chadema wachukue nchi,utapata haki yako,bandarini hata kama kazi ya kufagia kama humjui mtu utaisikilizia kwenye bomba!!usicheze na misingi mibovu iliyojengwa na nyinyiemu!!:der:
 
Back
Top Bottom