Rushwa yatawala ticts kitengo cha operation

Mbona jina langu silioni kwenye orodha?
 
WANYAKYUSA wako mbele, wana hadi Mwaistela
 
Afanaaleki!

Kufa hakuna breki!
 
Join Date : 7th November 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Join Date : 7th November 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Mshkaji kajiunga leo maalum kwa hii makitu. Yaelekea amepigwa chini kwenye intavyuu. Sijui kajuaje hao aliowataja wameishia la saba? Manake siku hizi Form Four ni kama nasare skul tu. Miaka miwili tu watu wanalamba vyeti....
 
Hata mimi nimeshangaa sana.
 
Mkuu vumilia 2015 chadema wachukue nchi,utapata haki yako,bandarini hata kama kazi ya kufagia kama humjui mtu utaisikilizia kwenye bomba!!usicheze na misingi mibovu iliyojengwa na nyinyiemu!!:der:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…