Russell Simmons got a winner?

Choposi mbichi kabisa hiyo, ndio kwanza imeingia sokoni "tayari kwa matumizi ya nyumbani"........Kimora alikuwa na miles kibao, watu wame-trade in na kitu mupya...safi!!!.
 
Tunda limekwiva kabisa hilo, kilichobakia ni kumenya na kumung'unya tu kabla mate hayajadondoka....
 
Tunda limekwiva kabisa hilo, kilichobakia ni kumenya na kumung'unya tu kabla mate hayajadondoka....

Why get an average chick if you're in the status level where you can pick from models ... and upgrade every 10 years of so.
 
Hayo mambo sio "Haba",Huyo Mama naona ametimia Department zote!!,Inaonekana ni wa huko kusini (Rio).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…