Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Benki ya Dunia imechapisha ripoti ambayo imeidhinisha Urusi kama nchi yenye kipato kikubwa.
Kigezo cha nchi iwe katika kundi la mataifa yenye kipato kikubwa duniani ni pale wastani wa pato la mtu mmoja katika taifa husika liwe kuanzia USD 14,005
Kulingana na ripoti ya WB, mwaka 2023 wastani wa pato la mtu mmoja Russia lilikuwa ni USD 14,250
Kiuchumi huo wastani huitwa Gross National Income Per Capita (GNI Per Capita)
GNI Per Capita= gross national income divided by midyear population
Hatua zilizopigwa na Russia kiuchumi mwaka 2023
- Uchumi wa Russia ulikuwa kwa 3.6%
- Nominal GDP ilikua kwa 10.9%
- Gross National Income kwa 11.2%
- Real incomes ilikua kwa 4.5%
- Nominal wages ilikua kwa 13%
- GDP PPP ya Russia imepanda kufikia USD 5,733 na kuwa taifa la tano duniani nyuma ya kinara China, Marekani, India na Japan
Je, vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa Russia vimefeli?
CREDIT:World Bank country classifications by income level for 2024-2025