Russia eyes deal to build Kenya's sole nuclear plant

 
The Russians are here to showcase their capabilities, just like all the other countries interested in this project. The contract hasnt yet been awarded.
 
Nchi ya kijamaa iwekeze kwenye nchi ya kibepari. Hebu niambieni mpo na nuclear reserve kiasi gani!!? Mpaka Russia waje kuwekeza!!?.

Hebu someni hapa nchi zenye reserve kubwa
The 16 Biggest Uranium Reserves In The World
Japan does not have any uranium reserves with which to feed its vast nuclear sector, yet it is one of the largest nuclear powers in the world. Doctor Congo, Niger and even Tanzania on the other hand have huge deposits of uranium yet the dream of ever acquring that tectology is still quite distant.

Kenya for many decacdes has been generating its electricity using oil, yet it is a non oil producing country.

Kwa hivyo changamkieni fursa hii, mtahitaji kuwauzia zile mataifa kama Kenya hizo Uranium ili kuzalisha stima.
Hii si ligi, wewe wataka kuifanya iwe ligi kati ya Kenya na Tanzania na Kenya; jameni! Fanyeni lenyu na sisi pia tufanye letu, mwisho wa siku sote tutakuwa mataifa zilizoboreka.
 
Soma hapa usilete porojo. Nani amekuambia Japan haina Nuclear!? Huwa napenda kwenda kwa facts. Soma hapa:-
List of countries by uranium reserves - Wikipedia
Halafu hiyo link ni kuhusu largest reserves
 
Oya soma document hii hapa:
http://www.oecd-nea.org/ndd/pubs/2016/7301-uranium-2016.pdf
 


"Japan's energy situation and international dependence

Japan’s shortage of minerals and energy was a powerful influence on its politics and history in the 20th century. Today it depends on imports for over 90% of its primary energy needs. As it recovered from World War II and rapidly expanded its industrial base it was dependent on fossil fuel imports, particularly oil from the Middle East (oil fuelled 66% of the electricity in 1974). This geographical and commodity vulnerability became critical due to the oil shock in 1973. At this time, Japan already had a growing nuclear industry, with five operating reactors. Re-evaluation of domestic energy policy resulted in diversification and in particular, a major nuclear construction program. A high priority was given to reducing the country's dependence on oil imports. A closed fuel cycle was adopted to gain maximum benefit from imported uranium."



Nuclear Power in Japan | Japanese Nuclear Energy - World Nuclear Association


Your link above isnt working.
 
Kuwa na shortage of minerals siyo kwamba hawana. Nimekuwekea link wewe isome. Acha kukurupuka. Ni kwamba wamefanya uchimbaji na imebaki kidogo. Sasa wewe unataka kujilinganisha na Japan!? Japan wapo na reserve ya Uranium nyie kenya hata tone tu hakuna. Mbona mnaota ndoto za mchana. Hapo mmeliwa na wanasiasa. Amkeni akina Uhuru watawachezea mpaka mtakoma. Mnategemea kuwa na nuclear plant je mtapata wapi resource!!? Hivi unategemea utanunua Uranium toka Tanzania!!? Msidangaywe na wanasiasa.
 
Nani hajui mkona biggest reserve ya uranium.. Shida ni hamjui kuitumia
Kwikwikwi wewe fikiria hivyo. Siku utakapoamka ndio utajua. Bado umelala sana.
 
Soo till now nashangaa mbona huyu annael analeta ubishi... Or bado haamini Kenya wanaleta nuclear power
 

Sisi huwa hatusikii tu, hatuambiwi tu kama ilivyo Tanzania, hii ni meza yangu, vitabu hivi toka kwenye mkutano wa nuclear KICC, angalia uone kazi inavyosonga tangu 2010, kila kitu kimeratibiwa, na sisi tunahusishwa kuchambua uzuri wake na ubaya, kisha tadhimini inafanywa, sasa sahi ukiangalia vizuri tuko kwenye bidding process, ambayo inafuatwa na ujenzi sababu kila uchambuzi umefanywa tayari, kuhusu mazingira na kadhalika




 
Soo till now nashangaa mbona huyu annael analeta ubishi... Or bado haamini Kenya wanaleta nuclear power
Ubish upi!!? Nimewaambia ni siasa tu za kwenu. Nchi ya Kijamaa iwekeze kwenye nchi ya Kibepari!!!? By the way Russia waje kuwekeza Nuclear plant kwenu hayo madini mnayapata wapi!!?
Nimewaonesha tayari hapa Tanzania Uranium one wanafanya kazi. Na kuna plant kubwa ya nuclear reactors by 2018 itakuwa tayari. Tumia akili hata kidogo tu. Usidanganywe na wanasiasa wenu.
 
Sasa hivyo vitabu ndio plant ya nuclear!!? Hizo ni note book tu.
Soma hapa kuhusu university ya Tanzania inayoshughulikia Technology na Nuclear issues
The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST)
Kisha sikiliza hii video
 
wewe jamaa unakipawa cha kubisha kijinga.
 
Unajua annael nimekuambia mara nyingi kuwa anafikiria kama mtoto... Hakuna politician yeyote WA Kenya anapinga hiyo project... Mnasema ati Tanzania bye 2018 mtakuwa na nuclear power... Sasa Kenya na ndio iko waaay far than your country na nuclear yetu by 2027 ndio ya kwanza itafunguliwa .. Peleka uwongo huko bongolala
 
Heheheh eti 2018 tanzania itakua na nuclear plant??!! Duuuh waswahili bwana weeeh, tupo hapa tuu mwakani tutacheka sana...
 
Soma hapa usilete porojo. Nani amekuambia Japan haina Nuclear!? Huwa napenda kwenda kwa facts. Soma hapa:-
List of countries by uranium reserves - Wikipedia
Halafu hiyo link ni kuhusu largest reserves
Uranium reserve sio nuclear!!!...nuclear is the product gotten from uranium kutoka kwa plants ...japan haina uranium but ina nuclear plants ..same to all most europian countries...hakuna mtu amekataa TZ ina uranium ...kenya inajenga plant ya nuclear .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…