Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Kwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na kuhatarisha usalama wa kila Binadamu.
Hadi sasa ukiangalia taarifa za Urusi kila siku wanatoa taarifa wameshambulia mifumo ya makombora ya HIMARS ambayo hayafiki idadi ya 60, hili ni wazi Serikali inaweza kufanya lolote na hakuna wa kuhoji.
Tanzania tusipolipa Bunge mamlaka kamili ya kuhoji na kuwajibisha Serikali kuu, taifa letu litakuja kuingia kwenye misuguano mibaya sana.
Tupunguze nguvu za Rais