Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Kabisa.Checks and balances ni muhimu sana kwa taifa lolote ili viongozi wasitumie madaraka vibaya
Viongozi wanaogopa, wanajua michezo yao ya ajabu ajabu itakuwa mwisho na watakuwa hatarini kuchukuliwa hatuChecks and balances ni muhimu sana kwa taifa lolote ili viongozi wasitumie madaraka vibaya
Kwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na kuhatarisha usalama wa kila Binadamu.
Hadi sasa ukiangalia taarifa za Urusi kila siku wanatoa taarifa wameshambulia mifumo ya makombora ya HIMARS ambayo hayafiki idadi ya 60, hili ni wazi Serikali inaweza kufanya lolote na hakuna wa kuhoji.
Tanzania tusipolipa Bunge mamlaka kamili ya kuhoji na kuwajibisha Serikali kuu, taifa letu litakuja kuingia kwenye misuguano mibaya sana.
Tupunguze nguvu za Rais
Unataka kuwapangia Russia mambo yao ya ndani,pumbavu zakoKwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na kuhatarisha usalama wa kila Binadamu.
Hadi sasa ukiangalia taarifa za Urusi kila siku wanatoa taarifa wameshambulia mifumo ya makombora ya HIMARS ambayo hayafiki idadi ya 60, hili ni wazi Serikali inaweza kufanya lolote na hakuna wa kuhoji.
Tanzania tusipolipa Bunge mamlaka kamili ya kuhoji na kuwajibisha Serikali kuu, taifa letu litakuja kuingia kwenye misuguano mibaya sana.
Tupunguze nguvu za Rais
Mbona jamaa kaeleza vizuri tu, msome tena labda utaona hoja yake ilivyo ya msingi.Unataka kuwapangia Russia mambo yao ya ndani,pumbavu zako
Niliwahi kuleta mada hapa jukwaani kuwa katiba yetu imempa rais mamlaka makubwa sana kiasi kwamba anaweza kuamua kuua kabila fulani, kuuza kipande cha nchi ama mkoa, kuteua Baraza la mawaziri lililosheheni ndugu zake tu, n.kTupunguze nguvu za Rais
Tozo zimekuchanganya wewe.Kwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na kuhatarisha usalama wa kila Binadamu.
Hadi sasa ukiangalia taarifa za Urusi kila siku wanatoa taarifa wameshambulia mifumo ya makombora ya HIMARS ambayo hayafiki idadi ya 60, hili ni wazi Serikali inaweza kufanya lolote na hakuna wa kuhoji.
Tanzania tusipolipa Bunge mamlaka kamili ya kuhoji na kuwajibisha Serikali kuu, taifa letu litakuja kuingia kwenye misuguano mibaya sana.
Tupunguze nguvu za Rais
Kama tulishidwa kuliona hili hapa kwetu hivyo hivyo na huko duniani wanashindwa kuona athari zake ni Bora tunyooshane Kwa vitendo akili zitaturudia sote🤸🤸🤸🤸Acha watu waonyeshane ubabe