Russia Military base in Mozambique

Mkuu hawa kuna kila dalili mchina ni mrusi na mrusi ni mchina!
Ndio ukweli wenyewe huo ..hao wakomunisti wameamua kuungana ili kumtoa usa katika kiti chake ... Siumesikia kuwa Russia kagundua chanjo ya covid ...Mimi Nina imani kabisa kuwa lile litakuwa ni chezo baina yake na china ili wapige pesa ... Kwakuwa ule ugonjwa ulilipukia china ilikuwa ni vigumu china kuja na chanjo dunia ingeshtuka kuwa china ndiye aliyetengeneza kile kirusi
So ameamua kushirikiana na russia watangaze chanjo ili china asijulikane kuwa anahusika
 
Warusi wapo Africa muda tu ndugu sema labda wewe ndo huna taarifa.
Warusi wana base msumbiji, jamhuri ya africa ya kati, Sudan na Libya

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Huko kote hawana base Wana military advisors tu, Tena wachache na wengi ni wale wa kundi liitwalo Wagner group lihusishwalo na kremlin
 

Come again please - how do you mean "impoverished Continent !!!"
 
Hata wao (Urusi) wanatamani kujitanua huku Africa? Ila wakaze bidii maana Mchina ndio kashika hatamu.
Sasa Mrusi na Mchina si Marafiki? Ni kama Kushangaa eneo ambalo Marekani yupo halafu uingereza Naye Akaenda.
 
Aisee...ndio maana Kagame aliiondoa nchi yake Francophone.
 
Hio military base iende kule kaskazini kupigana na IS isiwe iko apo kama mapambo tu
 
Elewa Hili lugha pia ni sababu ya ushawishi wa taifa Fulani juu ya taifa lingine
Kwahiyo sisi Ujerumani ina ushawishi huko Uswisi kwasababu wanaongea Kijerumani ??
Au Tanzania ina ushawishi huko Kenya kwasababu wanaongea Kiswahili, si ndiyo ??
 
Kwahiyo sisi Ujerumani ina ushawishi huko Uswisi kwasababu wanaongea Kijerumani ??
Au Tanzania ina ushawishi huko Kenya kwasababu wanaongea Kiswahili, si ndiyo ??
Samahani naomba urudi kidogo ukasome topic 1 ya history 2 ama 1 huko a level angalau utaelewa namaanisha Nini..
 
The US is also proping up the dictatorial Saudi regime under the murderer Mohammed bin Said.
The US formed as part of its foreign policy, maiming, killing and generally creating the failed states in Iraq and Libya.
Thank you USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…