kitonsa JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 1,211 Reaction score 2,649 Aug 14, 2020 #41 Latrice said: Hawawezi kui-win Africa kwa mtindo huu. China na America zimetumia biashara na France walitumia lugha. Click to expand... lugha pamoja na assimilation policy yake tangu ukoloni ,mpaka sasa iyo siasa bado ipo kwenye nchi zinazo ongea kifaransa kila kitu wao ni ufaransa tu, mavazi ,uchumi, kuzamia France, mpira nk ,upo sahihi mkuu
Latrice said: Hawawezi kui-win Africa kwa mtindo huu. China na America zimetumia biashara na France walitumia lugha. Click to expand... lugha pamoja na assimilation policy yake tangu ukoloni ,mpaka sasa iyo siasa bado ipo kwenye nchi zinazo ongea kifaransa kila kitu wao ni ufaransa tu, mavazi ,uchumi, kuzamia France, mpira nk ,upo sahihi mkuu