Russia moves to secure Tanzanian uranium reserves!

Ndugu zangu mi sitaki kuongea sana kwa hili ila WANANCHI TUNA HAKI YA KUANDAMANA NA KUKATAA UUZAJI WA MADINI YETU HASA HII URANIUM AMBAYO ITATUSAIDIA SANA BADAE KWA UMEME.
Hapa namaanisha kwamba wananchi wakiingia bara barani na mabango yao siku 2 tu serikali itaamka na hata kama kuna mkataba wowote feki itajitahidi kuuweka sawa. Pia wabunge wa upinzani wasaidie kuhoji serikali maana najua akina ndio mzee wa sisiemu hamna kitu watakacho hoji.
 

Mkuu mawazo yako ni mazuri, lakini nakuhakikishia, kwa viongozi tulionao haya ni ndoto. Haiwezekani makampuni hayo ya nje tayari yaongelea kuanza kuchimba bila ya serikali kufahamu; lakini ni kama kawaida, USIRI!!!

Haya tutayasikia yakianza ndo tutaanza kuamka!!!

This government SUCKS!!!! &****###@@...????!!!||----aaagh....
 
TRA should examine this deal very closely and ensure that the companies pay capital gains tax as the main assets are in Tanzania. Uganda was able to get over $400 million from Tullow/Heritage Petroleum when they changed ownership of the oil fields in Western Uganda in a simlar manner. URA was quite diligent and insisted on the parties paying the capital gains tax. The same should apply to the Mkuju property which is changing hands in this transactions. We should now see how diligent are the TRA/TAKUKURU/TISS in protecting national interests.
 

Wakuu,

Hapa ndipo always tunapopigwa bao!! Huwa tumelala sana, na katika negotiations tunaishia kupeleka waziri; ambaye technically anakuwa hana cha ku-discuss!!! Tunaishia kulalamika tu tunapopigwa mabao!!!

Hatujiandai na haya mambo mapema; hatuandai watu wetu wawe competent kwenye hizi shughuli; inakuwa kama tumepata taarifa last minute!! Watu wanakalia ubinafsi tu!!!

Ukija kwa mkulu, anakalia kuuza sura tu, shati nzuri, tai maridadi, suti kali na kucheza muziki, bila kusahau nyumba ndogo.

Wakija kwa wananchi ambao the majority hawajui, wanaambiwa "sasa tatizo la umeme kwisha, tunaanzisha matumizi ya nuclear"
 

Mkuu hizo nilizoziwekea red hua sijuagi kazi zake hata siku moja....Hasa TISS sijui kama wanaelewa maana na dhana ya usalama wa taifa.
Sielewi ni ukosefu wa watalaamu au uzalendo....may GODBLESS Tanzania
 


Inaonekan una habari za kutosha kuhusu huu mradi.
Suala la muhimu kwetu ni, Je SERIKALI YA tANZANIA INA HISA ZOZOTE KWENYE KAMPUNI ILIYOPEWA KIBALI CHA UCHIMBAJI??

Are we shareholders in this venture? au ndio tulishawaachia wanazidi kutajirika huku tukisubiria kodi ya mapato mradi ukianza miaka 20 ijayo??
 
NDG WANA JAMII FORUM,ninawasiwasi na jina la hiyo kitu inayoitwa ROSATOM,KAMA INAENDANA NA RA,YULE MFILISI WA NCHI YETU,HII IMEKAAJE?/????
 
Africa ni shopping center ya uranium,wajinga ndio waliwao.Elimu duni,Tekinologia hafifu,Watawala wasiombirika,tutaachiwa mashimo.
 
Kutokana na kuwa nchi yetu imesaini mikataba ya shanga na kampuni hizi uchwara za uchimbaji madini kwa mara nyingine tena nchi yetu itatoka patupu. Sheria zetu zinatoa uhuru kwa kampuni yoyote ile ya madini kuuza "haki" leseni yake kwa kampuni nyingine. Serikali inatakiwa kutozuia suala hilo labda kama kuna sababu za msingi. Uuzaji wa leseni ni wa bure na hivyo TRA hawatakiwi kutoza chochote kile. Ndivyo ilivyofanyika kwa migodi yote ya madini na nchi yetu iliula wa chuya. Lakini ajabu yake Ngeleja anasimama na kuuambia umma wa Watanzania kuwa tunanufaika na madini hayo. Siku hizi amekuwa mpiga-debe mzuri wa kampuni hizi za madini. Hivyo ndugu zangu ni lazima tupige kelele kupinga Sheria mpya ya madini kwani bado ni kiini macho kwani inatufanya tuchekelee kama mazuzu wakati tunaibiwa. Ni vizuri kama watu katika Jamii Forum tunaweza kuandaa kongamano kuzungumzia masuala haya mwanzoni mwa mwezi wa kwanza nami nitakuwa tayari kutoa mada kuhusu masuala haya.
 
mh!!! Huyu balozi mpya wa Rassia aliyetumwa Tanzania ana medali nyingi hivi za uzoefu wa kazi wamemtuma tz kwenye nchi maskini kama hii wanataka kufanya dili gani?
Hapa nina wasi wasi sana maana najua si ni vilaza huyu kaja rasmi kupitisha mikataba feki.

AU nyie wana JF Mwaonaje??
 
Mnauhakika hiyo si kampuni ya Rostam?
 
Before we know, we would become another frontier for new cold war between East and West. Americans have beenpouring money in ther MCC projects and Russians are at the door knocking. What about Chinese and other poweful countries think about what move to make?
Lakini kwa bahati mbaya hata aje nani. ili tuendelee na kuondokana na umaskini ni lazima tujipange wenyewe na kujiamulia wenyewe na kuamua kuwa wazalendo wa dhati badala ya kugawa hizi rasilimali kama sio zetu.
 

Mkuu haya mabao mimi nasema huwa tunajipiga wenyewe, aidha kwa kutojua au makusudi maranyingi it is the later that is alwayz in play. Masuala ya mikataba na negotiations si lazima tuwe na wataalamu eti ndiyo yafanyike vizuri. Still as a country tunaweza kukodi watu wa kutufanyia hii kazi na kuweka guidelines as to what we want, hivi ndivyo hata baadhi ya nch zilizoendelea zinafanya. Lakini tukiendelea kutegemea eti sijui mwanasheria mkuu, sijui Mkono mabao yataendelea kama kawa. Maaana kuna aina nyingi za mikataba na negotiations mfano ya hii ishu hawana uzoefu nayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…