Duh! Hao Jamaa Wachawi Ni duniaNigeria wako vzr nawaombea wafike ata nusu final
kosi langu ndo ili baada italy kukoswkanaKikosi kamili cha Brazil:
Walinda lango: Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians).
Mabeki: Danilo (Manchester City), Fagner (Corinthians), Marcelo (Real Madrid), Filipe Luis (Atletico Madrid), Thiago Silva, Marquinhos (both PSG), Miranda (Inter Milan), Pedro Geromel (Gremio).
Viungo wa kati: Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Manchester City), Paulinho (Barcelona), Fred (Shakhtar Donetsk), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe Coutinho (Barcelona), Willian (Chelsea), Douglas Costa (Juventus).
Washambuliaji: Neymar (PSG), Taison (Shakhtar Donetsk), Gabriel Jesus (Manchester City), Roberto Firmino (Liverpool).
Hivi Kombe La Dunia Linaanza Tarehe Ngapi Wajameni?
Weka ratiba hapa team profile vikosi facts za world cup 2018 uzi unoge uwekwe hata sticky ila hapa mwepesi sana utapotea hata kabla ya worldcupHabari Zenu Wapenzi Wa soka Wote.
Nawakaribisha Katika Thread Hii Maalumu Kabisa Kwaajili Ya Kombe La Dunia Mwaka Huu 2018.
kwakifupi Humu Tutabadilishana Mawili Matatu Yanayohusu KOMBE LA DUNIA
(FIFA WORLD CUP]
Nimekwisha Fanya Hivyo Mkuu Nenda Thread 01 Nimeelezea Team Zilizofuzu Kucheza Kombe La Dunia 2018.Weka ratiba hapa team profile vikosi facts za world cup 2018 uzi unoge uwekwe hata sticky ila hapa mwepesi sana utapotea hata kabla ya worldcup
Good job..... sema upandishe kwenye thread yako....yaani kila anayefungua uzi akute facts kama hizi huko juu kabisaHIZI NDIZO NCHI ZILIZO FUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2018
- Ujerumani
- Argentina
- Iceland
- Ubelgiji
- Colombia
- Costarica
- England
- Misri
- Iran
- Japan
- Mexico
- Nigeria
- Panama
- Poland
- Saudi Arabia
- Korea Kusini *Uhispania Na Uruguay
Mchakato wa kufuzu bado unaendelea? Maana hapa ni Nchi chache sana(18) kati ya 32 ambazo zinatakiwa kushiriki.HIZI NDIZO NCHI ZILIZO FUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2018
- Ujerumani
- Argentina
- Iceland
- Ubelgiji
- Colombia
- Costarica
- England
- Misri
- Iran
- Japan
- Mexico
- Nigeria
- Panama
- Poland
- Saudi Arabia
- Korea Kusini *Uhispania Na Uruguay
HahahaWaoga hao ndugu
Yeah mkuu, hayupo fitiDaaa.., yule Bwana Mdogo Dimitri Payet hajaitwa hata Sub au Jana aliumia sana?
Gud sana mkuuload to russia LACAZETTE out GIROUD in safi sana didier deschamps toa masharobaro weka watu wa kazi,,,,,,,,,,mimi hili FRANCE ndio chama langu chama la wana