nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa Uingereza ila nimechoshwa na timu ambayo haivuki hata robo fainali kwenye kombe la dunia.
korean republic ndio timu nitakayoishabikia kwenye michuano ya kombe la dunia msimu huu na wapinzani wetu waanze kujiandaa kisaikolojia, kama waingereza walikuwa wanakwenda kwenye michuano na warembo wao sisi tutakwenda Russia na waigizaji wote pamoja waimbaji wa kpop kwa ajili ya kuongeza morali kwa wachezaji.
aminas noona kwenye kombe la dunia unashabikia brazil?
aigooooooooo na wapinzani wetu wakituzidi kipindi cha pili tunabadilisha timu nzima.
Goalkeepers: Kim Seung gyu, Kim Jin hyeon, Cho Hyeon woo
Defenders: Kim Young gwon, Jang Hyun soo, Jeong Seung hyeon, Yun Yeong seon, Kwon Kyung won, Oh Ban suk, Kim Jinsu, Kim Minwoo, Park Joo ho, Hong Chul, Go Yohan, Lee Yong
Midfielders:
Ki Sung yueng (swansea city), Jeong Woo young, Kwon Chang hoon, Ju Sejong, Koo Jacheol, Lee Jaesung, Lee Seungwoo, Moon Sunmin, Lee Chungyong
Forwards: Kim Shin wook,
Son Heung min (tottenham), Hwang Hee chan, Lee Keun ho