[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo zilipendwa tusitishane
Ni shhhheeeedaaaa,..tukishinda si utanipa ee shogaangu
Tupo pamojaBrazil,.kama kawaidaa
Mpeane mahela sio kupangana unaweza ambiwa ubet papuchi ukoNdio tunapangana...
Mechi sawa, dhamana tunaweka nini?
Yule young brother[emoji16]Ebu uko nieleweshe basi
We unataka nn?!
Nimekutania ila nipo na Belgium baadae.
Ntakukumbusha baadae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyau weeEenh ujue we sio mzima
Yule young brother[emoji16]
Nimesoma mahali flani, wanasema kipa wa Uruguay kabet pesa nyingi sana. Kwahiyo hizi ni jitihada asichane mkeka wake
Subiri ajibu....Mpeane mahela sio kupangana unaweza ambiwa ubet papuchi uko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyau wee
Subiri ajibu....