Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Game nzuri I agree but Brazil wanazingua.Game nzuri so far Brazil wanatishia zaidi
Hahahahaa uwiiiiiView attachment 803926
Mkeka wangu jamani...
Nnasubiria goal la Romelu Lukaku hapa.
NaonaBado ngoma mbichii...ila jamaa wako njema
Waliingiza hadi mahonda lakini wapiiiBado kabisa mmesahau ya japan
Watatulia tuWana nchechetooo
Waliingiza hadi mahonda lakini wapiii
Nicheke tu mimi napambana na hali yangu hapa.Hahahahaa uwiiiii
poleeeView attachment 803926
Mkeka wangu jamani...
hahahahahaHalafu unajua we ndio unanivuruga humu
Belgimu hawarembi wakipata mpira hadi golini, wakiendelea hivi yatakuwa mambo mengine....Game nzuri I agree but Brazil wanazingua.
Ahsantepoleee