Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Em tutulie kwanza,..duh!!!!Kuandika text tu mikono inatetemeka
Hahahahaa mechi ikiisha ndio ntabetmkeka unachanika huo
Hapa kila mmoja anajihami.See?? Leo mapema .. itabid uongoz wa timu ifanye ticket booking for Brazil muda huu otherwise hii aibu hawana pa kuiweka.
Hahahaha yule mganga.Mkuu wewe ndo yule mtu anaetumaga zile meseji za "nitumie pesa kwa namba hii"
NimerudiiNakuona hazard,.nimekuelewa...kanywe maji urudi nikuambie kitu
Hahahahaa,. WaoooowNimerudii
Counterattack zinatumalizaHizi kona kona mbona nyingiiii...
KweliUbelgiji wanapiga counter zenye kasi huku mabeki wa kati wa Brazil wakiwa hawana kasi!!
jamaa wana spidi sanaWadau mnaona mashambulizi ya Belgium hapo mbele.
Wana kasi ya ajabu leo...Belgimu hawarembi wakipata mpira hadi golini, wakiendelea hivi yatakuwa mambo mengine....
Hii speed wasiipunguze hata kidogo, kwa sasa Brazil wanahaha sanaHahahaha hivi ndivyo nilitaka Belgium wacheze wasiige kabisa mpira wa Brazil na wasipoze mashambulizi hata kidogo
Nyingi kwa sababu wao wanazisababishaHizi kona kona mbona nyingiiii...