Bora umesema ukweliMm je nguvu zimeibuka bada ya hili goal
Eti ziliisha ghaflaMm ni shabiki imara nguvu zilipotea ghafla
3'Bado dk ngapi kwanza asee
Lukaku kachoka sanaaa...kafanya kazi kubwa. Ni sahihi kutolewa.Kumtoa Lukaku ni kosa kwasababu body size yake inawapa pressure sana Brazil
Sijui kocha wa Belgium amelenga nini
Wakirudisha nishtueTutarudisha na hili
Mm je nguvu zimeibuka bada ya hili goal
Wakirudisha nishtue
France na Belgium.Nilikua portugal na spain zilipotoka nimehamia france. Wewe je?
Mpira ukiisha nipe matokeo basi
SawaMm ni shabiki imara nguvu zilipotea ghafla
Mpira ukiisha nipe matokeo basi
Eti ziliisha ghafla
nimecheka mnoo
Wewe kama mimi yaani, sasa hv nimetulia zangu kwa mbappe bila stressNilikua portugal na spain zilipotoka nimehamia france. Wewe je?
Ona sasa5mim added on. Hivi ni Nani aliidanganya dunia Neyma ni mchezaji bora.
Na haipat maana washamjuaNeymar anaitafuta penalti kwa nguvu