Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mzee mwenzangu niliandika kule baada ya uruguay kutolewa kuwa ulaya hawana nia njema na timu za mabara mengine naona kauli yangu haijaanguka chini.Afadhali yametimia
Wale wa-Swede watachezea kichapo cha mbwa koko.Kesho england na russia out
Mbape ni mchezaji wa kawaida tu akibanwa hafurukuti kinachomsaidia sana sana ni mbio.Mbappe yupo vizuri,nimemfata pogba pia
Mzee mwenzangu niliandika kule baada ya uruguay kutolewa kuwa ulaya hawana nia njema na timu za mabara mengine naona kauli yangu haijaanguka chini.
Pole sana.Take it easy.
Nnasubiria mahela yangu.
Ahsante mkuuKiongozi mwifwa hongera
YeahUshindi ni magoli
lala tu hamna namnaMahela tena jamani si ulikataa kesho England nao sijui wataniangusha ndio team yangu iliyobakia acha nilale
Usiku mwema.[emoji124]Mahela tena jamani si ulikataa kesho England nao sijui wataniangusha ndio team yangu iliyobakia acha nilale
Bora uache tu, maana timu yako (Arsenal) haina mchezaji hata mmoja kwenye haya mashindano.Nimemaliza rasmi kuangalia mashindano ya WC kwa mwaka 2018,niwatakie siku njema, sasa kilichobaki nikutazama senema tu
Shunie , lala ukitegemea miujiza. Kama hawatabadilika, kwa uchezaji ule na Colombia naona ticket zao zikiwa na OK! Wanatakiwa kuwa na energy na plan. Wasusie uchovu , huenda!Mahela tena jamani si ulikataa kesho England nao sijui wataniangusha ndio team yangu iliyobakia acha nilale