Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Tite alifanya makosa kwenye baadhi ya maeneo.

1. Kumwanzisha Jesus badala ya Bob.
2. Kuendelea kumchezesha Willian ambaye kwa jana alikuwa flop.
3. Alikosa kujua mbadala wa Casemiro ambaye alishindwa kucheza kutokana na kadi ya njano.
4. Douglas Costa angemwanzisha au angemwingiza 45 za mwisho zilipoanza. Dakika chache alizoanza aliongeza sana tempo

Sasa makosa yamesha mgharimu arudi tu kwao kama walivyorudi kina Cr7, Messi na hata wajerumani.
 
Tulipofika hakuna mpira wa ujanja ujanja inatakiwa mtu akaze kweli. Ule mpera mpera wa hazard akiupata huku fella anapoza maandalizi pale kati kwa hakika Belgium walistahili.
Mimi si shabiki wa Brazil lakini laiti Brazil wangelipanga kikosi chao vizuri Belgium angelitoka. Kipindi cha kwanza watatu ndiyo waliisumbua Brazil, De broune, Lukaku na Hazard. Kati pale Brazil walikosa kabisa kiungo De broune akawa anapita tu na wakampa jina kiuzembe jamaa akawànyoa. Angalia second half Brazil ndipo wakaamka alipoingia Ferminho, Augasto na Costa. Costa kawa wings tena anayezunguka uwanja na mwenye control ya mpira hali iliyomfanya Courtnho alirudi kuwa namba 8, Neymar 10 na Costa 7. Mpira ulibadilika mbona, Kocha wao angelikuwa na utambuzi ule basi tungeliyaongelea mengine.

Lakini upo sahihi, Mpira wa sasa ni wa kukaza sana history hazisaidii kitu. Nina uhakika the next world cup south Americans teams watakuwa completely different.
 
Wooooooooozeeerrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] eeenh sema kweli team yangu iliyobaki inachukua ubingwa nimeshapoa kaka angu kwa kufungwa
 
Only three goalkeepers have made nine saves in a single 2018 [HASHTAG]#WorldCup[/HASHTAG] game:

#MEX's Ochoa vs. [HASHTAG]#GER[/HASHTAG]
#RUS's Akinfeev vs. [HASHTAG]#ESP[/HASHTAG]
#BEL's Courtois vs. [HASHTAG]#BRA[/HASHTAG]

Not all superheroes play outfield.
 
4 - Brazil have now been eliminated by a European nation in each of the last four editions of the World Cup (France 2006, Netherlands 2010, Germany 2014 and Belgium 2018). Exit.

[HASHTAG]#WorldCup[/HASHTAG] [HASHTAG]#BraBel[/HASHTAG] [HASHTAG]#Bra[/HASHTAG] [HASHTAG]#Bel[/HASHTAG] OptaJoe on Twitter
 
Nimekuwa msomaji wa post za watu baada ya Brazil kufungwa Sina confidence tena ya kupost
 
Mkuu Timu za Ulaya Kwa kukaba ni shida,mpira ukiwa upande wa Brazil unakuta beki ya Belgium ni kama Misitu pa kupita hamna.Neymar anafosi kupita kwenye Msitu ananyang'anywa kirahisi
 
Yaah! zamani timu zilishinda aidha kwa kuwa na wachezaji wawili tu mahiri lakini usidhani kuwa brazil and company wameshuka viwango hapana ila timu za chini viwango vimepanda na kuwafikia kinacho amua ushindi ni mbinu za ziada na makosa flan.
 
Wamepoteza nafasi nyingi sana brazil roho zitakuwa zinawauma sana....yule paulinho hakutakiwa kuanza amekosa nyingi sana....willian mzigo tu hila costa mwanaume kweli
Willian mechi na Mexico alicheza vizuri sana
 
Mkuu Timu za Ulaya Kwa kukaba ni shida,mpira ukiwa upande wa Brazil unakuta beki ya Belgium ni kama Misitu pa kupita hamna.Neymar anafosi kupita kwenye Msitu ananyang'anywa kirahisi
Neymar kinachomgharimu anakosa maarifa ya mpira hajui afanye nini wakati husika. Amerika ya kusini bado vipaji wanavyo, walilewa sifa tu kwa sababu ndiyo waliyokuwa wanatawala mpira wa miguu kwenye mashindano ya kimataifa. Kombe LA dunia hili litawaamsha kwamba wazungu wanafanya ukweli. Nina imani kombe la dunia litakalofuata tutashuhudia tusiyoyatarajia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…