Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Since the beginning England wanapata easy games tu ndio maana wapo mpaka leo.
Braza una maana gani unaposema easy games??

hizo tight games ni zipi???
Russa V Spain.....Germany V South Korea kama nimekuelewa vizuri kwako hizi ndio zilikuwa game ngumu isn't???

kama kombe la dunia lingekuwa rahisi hivyo leo hii Netherland, USA na Italy tungewaona humu.
 
Sebastian Larsson amerejea kikosini Sweden baada ya kukosa mechi iliyopita.
Uingereza inashiriki robo fainali kwa mara ya kwanza tangu 2006.
Wanakutana Kombe la Dunia kwa mara ya tatu. Mechi za awali zilimalizika sare 1-1 mnamo 2002 na 2-2 mwaka wa 2006.
Mshindi kukutana na atakayefuzu kati ya Urusi au Croatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…