Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Wamepoa sana yani
Gemu imepooza
England bora atoke tu. Bila kubebwa hakuna kitu
Hata england sioni wanachocheza.
Hawa Sweden wameanza kupak bus mapema hivi dah!
Hii mechi utadhani wanacheza makundi ,kutafuta pointMechi za england huwa zinaanza kwa kupoooooooza, na ndivyo huwa hivyo hivyo mpaka zinaisha.
Ni afadhali watoke nao.
Usitufanyie ivyo basi bro, Mbona wapo vizuri, chief?England bora atoke tu. Bila kubebwa hakuna kitu
Wote wanacheza mpira wa Darasani.Mechi imekosa vipaji halisi vya soka,humu ni mbio,piga mbele na mi mbinu za kizungu ,nazuia kwangu nafunga kwako
Ndio tatizo hilo ,dakika 26 hkn lolote la maanaWote wanacheza mpira wa Darasani.
Mixer corner ,mipira iliyokufa ,set piecesYaani england game plan yao ni kros kros kros kros!
Wote wana 4 - 4 - 2 ,tena ile ya kizamani,za winga teleza,piga krosi turuke ,au kona tugombanieMpaka sasa hii ndio the most booring knock out match ya 2018 world cup.
Mabeki wapembeni wa Sweden wanaruhusu sana cross kupenya Young na Tripper wanatembea sana kule pembeni.Umeona mambo hayo?!