Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mechi imbalance mm mwenyewe kabla ya mechi niliwapa France, lkn mpaka hivi sasa yoyote anaweza kushinda hii mechi.
 
Mfalme wa Ubelgiji Philippe na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wamefika kuwapa matumaini wachezaji wanaowakilisha mataifa yao.
kumbe yule ndio mfalme niliona anaonyeshwa wakati wa wimbo wao wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…