Mkuu, umekubali?Tuna dk 3 tu .. referee atakua wao!
Hahah......
haya bhana vigeregere kwa wafaransa japo roho imeuma kidogo.
Mshindi wa leo ndio favorite, kwenye karatasi france wako vizuri hata kwa mchezaji mmoja mmoja!Kipipa kitaenda kwa Malkia kama masihara. Sijui kama bibi May ataenda Russia kukutana na babu Putin
Tupo ila ni maumivu yasiyosemekaBelgium mpoooo?????
Kombe linaweza kuwa lao mkuu.....France Asante sana mmenifanyia kazi ya kulipa kisasi
Poleni sanaTupo ila ni maumivu yasiyosemeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaa mbali na FranceTuna dk 3 tu .. referee atakua wao!
mkuu capitalpool , tushapoteza hii...I hope wataudisha, ila kwa mpira huu radha ya nusu fainali tulotazamia haipo kabisa.
Daahhh[emoji20] [emoji20]
sikimbii ndugu, amini amini nakwambia