katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
Kwakweli naamini hawatoniangushaPole,leo Croatia watakufuta machozi.
Belgium haina hadhi ya kubeba world cupUbeligiji ndio timu ya kwanza kuiona ikimtoa brazil halafu ikashindwa kufika fainali.
Fara sana Hazard na wenzake.
Belgium haina hadhi ya kubeba world cup
Team gani nyingine yenye matokeo kama hizo team imetolewa mapema ?Timu zote zilizofika nusu hazina hadhi ya kuwa hapo zilizpo kidogo labda france.
Kiujumla sijawahi kuona michuano ya world cup mibovu isiyokuwa na mvuto kama hii ya mwaka hii.
The most boring world cup tournament i have ever watched i.e lots of bus packers,mediocre players,dumb tacts,VAR(very annoying refereeing).
Ulitaka zifike team zipi ?Timu zote zilizofika nusu hazina hadhi ya kuwa hapo zilizpo kidogo labda france.
Kiujumla sijawahi kuona michuano ya world cup mibovu isiyokuwa na mvuto kama hii ya mwaka hii.
The most boring world cup tournament i have ever watched i.e lots of bus packers,mediocre players,dumb tacts,VAR(very annoying refereeing).
Mkubwa vipi ya leo wanarusha au nitafute banda umiza kabisaHahaha akina Mwl. Kashasha na jopo lake. Watakuwa wanarusha mkuu.
Wanarusha chiefMkubwa vipi ya leo wanarusha au nitafute banda umiza kabisa
aisee,serious?Kuna jamaa nimebet nae Uingereza akishinda nampa Elf 20, Mimi Nimemwambia Croatia akishnda Sitak hela(ni mpare najua hatanipa) anitumie tu papuchu ya demu wake,amekubali ila bahat mbaya humu watanipa ban nilitaka niiweke avatar mana nina uhakika papuchu n yangu leo.
Nakubali mzee wa kazi shukranWanarusha chief