Hatari sanaaaa! Sema mechi ya leo rahisi sana
[emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16]England style yao ya kucheza ni kama wanaume wa Dar![emoji53][emoji53][emoji53]
Tusubiri tarehe 26 atletico MadridSio mbaya,ni sehemu ya mazoezi.
Hahaha...Arsenal anatafuta ubingwa wa Pre-season kama Man U.Pre season arsenal 5 mechi inaendelea.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nasubiri ligi ianze. Safari hii tupo vizuriHahaha...Arsenal anatafuta ubingwa wa Pre-season kama Man U.
Na iwe hivyo chief, maana mmeteseka sana😀😀😀[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nasubiri ligi ianze. Safari hii tupo vizuri
Huyu Lukaku katunyuma goli letu.
Tusubiri tarehe 26 atletico Madrid
Kweli kabisaHapo ndio tutajua kama we are on right track [emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali Lukaku anatoka
Kweli kabisa
De bruyne angetufaa sana! Ozil yupo vizuri tatizo anakauvivu flani hiviHuyu De Bruyne unaonaje tungempata pale Arsenal?