Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

England bravooooo. Mmeonyesha Epl nayo ligi 4th place si haba dola kibao kibindoni
Its coming home ma foot
It’s over
Kama nilivyosema tokea mwanzo England ni mshindi wa 4 na ndivyo ilivyokuwa.

Team Croatia kesho tunabeba ndoo [emoji1434]
Cheeeeeeeeersss.
[HASHTAG]#teamcroatia[/HASHTAG] tutakua hapa tukisubiri kikombe chetu.
 
Hongera ziwafikie England kwa KUSHINDA NAFASI YA 4..
 
It’s over
Kama nilivyosema tokea mwanzo England ni mshindi wa 4 na ndivyo ilivyokuwa.

Team Croatia kesho tunabeba ndoo [emoji1434]
Cheeeeeeeeersss.
Duuh Croatia tena [emoji17] [emoji17] [emoji17] ngoja nibaki na France yangu, Pogba usiniangushe mwanangu.
 
Hakuna ubishi kesho crotia anapigwa kiurahisi sana na france kante,pogba,mbape ,matuidi na greizman hapa mziki ndipo ulipo ukiacha bek mbili na tatu ambao wapo makini wakati wao crotia wakitegemea juhudi binafsi za luka modric tu.

Tumeona mechi ya nusu fainali ambapo sterling aliwakimbiza sana wakina lovren ni ile hali ya kukosa udhoefu ndicho kilichowagharimu sina shaka kesho na spidi ya mbape ambaye atakuwa mwiba mkali sana kwa wale wazee wa crotia

France tuanze kushangilia ubingwa wa dunia mapema.
 
Neenda ukabeti kama una wakika na ufaransa....utajilika hiyo ni fursa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…