upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Hahaaaa. Hivi rafiki Paka anaeza fuata vyuma kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa. Kweli aiseee.Hiii hutokea tz pekee ambapo tunalazimisha matokeoView attachment 809785
Subiri yaje tofauti sasa[emoji23]Hahaaaa. Kweli aiseee.
Hii ni zaidi ya kulazimisha.
Hahaaaa. Kweli aiseee.
Hii ni zaidi ya kulazimisha.
Mahaba niue hayo na ndo maana kaweka mamisumariNimecheka sana lol.
Sasa kuweka vibakuli ambavyo ndani vina vitu visivyoshabihiana unategemea Paka afuate nini?
tuweke mkeka numbisaHahah eti huenda. Lets wait and see
Umebeti shilingi laki ngapiPaka huyu ajawai kosea View attachment 809767
Acha tu uu!!kàmoyo kananipeleka kwa Croatia jamani.....moyo huu!!
12Mechi saa ngapi waungwana!!!