capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
Sijui nihamie France??
Usinichekeshe mie, tayari check your pm[emoji85] [emoji85]Laki tisa hiyooo inaingia kiulaini warembo wa chitchat anzeni kunipm mapemaaa
IndeedUlaya na afrika = France, croatia ana kazi lupambana na mabara 2.
Karibu huku tusherehekeeSijui nihamie France??
[emoji12] [emoji12] na kwako piaDooh jamani naomba niwaage tu....usiku mwema
Mpira ni magoli, yale ya chenga twawala mwicho Chalinze...Ingawaje France wanashinda ila Croatia is the best team wanacheza mpira mzuri na wamecheza mpira mzuri throughout of the tournament
Kante katoka kitambo sana.Pressure ya Croatia ni kubwa ila inapozwa na kante na pogba hapo kati, unajua football ukiwa na vioungo wajanja wanasoma mchezo kante ata asogei mwanzo ata mbape alikuwa anashambulia kwa akili na kuibia anaattention kubwa kulinda!
Kwa pressure ya crotia wanachezea katikati kuja mbele bila kuwa na defensive middle fielders wazuri na ukizingatia france wabovu kwa mipira ya piga nikupige wangepigwa kirahisi mno. Kante anafanya kazi kubwa mno akisaidiwa na pogba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]njoo tubebe kombe
Njoo tu my dear tugonge shampeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui nihamie France??
Asante,Karibu huku tusherehekee