Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Ha ha haaaa....mbavu hzi mpak zinauma..yaan waafrika taabu sana kukurupuka kwingi....hata huyo pogba huwa anabahatisha baadh za gemu...Mara nying huwa anacheza kana kwamba hana kichwa
Ni zero brain huyu!
 
Unakuta mtu mzima na akli zake anashangalia Croatia.....watu wnyewe wamefika fainali kwa kuunga unga kwa penati Mara extra Tyme....

Sawa mzungu mweusi umesikika, na kesho wazungu wako watarudi kukufunga minyororo miguuni na wakuburute...huo ni utumwa
 
Wanatamani tena utumwa!

Cku wamekutana Belgium na Tunisia wakageukia upande wa belgium utazani Tunisia haiko african.walipokutana Englend na Tunisia wakageukia kuishabikia England.siku wamekutana Portugal na Morroco wakageukia kuishabikia Portugal, waarabu wakapigwa chini eti because hawa ni waarabu na hawa ni potugal mchanganyiko na weuc...mammae u2mwa huu aise.
 
Hujui soccer wewe nenda facebook ukalike mitindo ya nywele,ungejua soccer usingeongea huo ujinga.

Kongole "Assimilation Policy " Mabingwa wa Kombe la Dunia, mwaka 2018.
 
Unakuta mtu mzima na akli zake anashangalia Croatia.....watu wnyewe wamefika fainali kwa kuunga unga kwa penati Mara extra Tyme....
Hahahaha wewe ni mtanzania wa kweli. Unavyo-analyse soka ulitakiwa uwe ktk camera za BBC, Skysports ili watu wajue jinsi Tanzania tulivyo na vichwa vyingi kama wewe na kiongozi wa Green,Yellow,black, blue kitu gani
 
Huyu ni mwalimu kashasha
 
Wacheazaji wa france wakilisakata ndombolo kwenye ndege.
Kimpembe na Mendy ni vichaa wa music. Wao ni full shangwe muda wote. Wanachangamsha sana kambi.

Pogba yuko FULL OF LIFE. What a guy! Very charmimg!! Anaongea lugha karibu zote za kimataifa.

Ave le president de la republic!

Hapa wametunga wimbo kwa Mgolo Kante.

Timu yenye umoja hii nyuma ya pazia. Ndio maana wameshinda. Siri ya ushindi ni umoja na inaoneka a timu hii kila mtu mi rafiki wa mwenzie.
 
Hujui soccer wewe nenda facebook ukalike mitindo ya nywele,ungejua soccer usingeongea huo ujinga.
Punguza hasira....mnafungwa 4 af unadai unajua mpira...mnakimbia kimbia tu uwanjani na wazee wenu...kiufupi waliotarajia Croatia kushinda akli zao haziko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…