Mnarudi majumbani kwenu kambi mnavunjaHivi kama kombe linachezewa nchini mwako mkifungasha mabegi mnaelekea wapi ?
Naunga hoja mkonobrazili atatolewa nusu fainali na belgium
Kumbe nawe mdau Wa kubetiView attachment 800252
Mkeka wangu unaendelea kuchanika mdogo mdogo.
Walishawahi kuchukua Kombe hata mara moja? Nijuze aiseekombe atachukua uruguay
Nakuunga mkonoHii ndoo inaweza kuja hata bongo maana wote wanaoshiriki kama vile hawalitaki
#spain-out
Mkuu si kwa belgium hii, ina majina ila collectively si timu ya kuogofya, Brazili vs Uruguay fainali. This world cup is destined for UruguayNaunga hoja mkono
Naam wacha nimsaidie kujibu mwaka 1950 tena pale pale nyumbani kwa brazil.Golie mocair barbosa alikuwa kipa mahiri kabisa wa brazil lakini alifanya kosa la kizembe na kuwazawadia goli uruguay na wa brazil walimnunia kwa miaka 50 kutokana na kosa hili.alikuwa akilalamika kuwa adhabu ya juu ya kifungo ni miaka 30 sasa mbona wao wamemnunia kwa miaka 50.Walishawahi kuchukua Kombe hata mara moja? Nijuze aisee
Hii ni beti ya kitakatifu sio ya kusaka mpungaKumbe nawe mdau Wa kubeti
Mara mbili kombe la dunia na mwaka 2011 walichukuwa copa America . hii ndio timu ya kwanza kuchukua kombe la dunia lilipoanzishwaWalishawahi kuchukua Kombe hata mara moja? Nijuze aisee
Nilisema mapema tu,kwamba spain lazima alale..